Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mbona matajiri hao hao wa mascania mbona wanaoleta yutong saizi. Sawa scania inadumu lkn ili upate faida inabidi ukae nayo miaka 6 wkt yutong miaka 2 tu imeleta faida. Kumbuka biashara ni faida
Lini umeona Nissan UD mara ya mwisho ikiwa barabarani?
Nilisafiri na scania toka Ubungo kwenda mby, na basi la nganga scania lilikuwa la nne kutoka terminal na yalitangulia Newforce,nakuhakikishia kabla ya mlandizi tuliwapita na tuka ingia Mbeya Wa kwanza.Achana na scania.juzijuzi nilikuwa lindi scania za wahidas zilikuwa za kwanza kuingia pale wakati hao Wa China waliingia baada ya nusu Saa,ujue wahida mabus yao ni ya zamani sana ukilinganisha na yutong
Malizeni mjadala then tupambanishe Zhongtong na Yutong...The crash of brothers
Yutong kwa zhongtong anakaa vizuri yutong ameachwa nyuma sana
mkuu kwa kusini wahdas si lolote si chochote mbele ya yutong, zhongtong na higer za machinga, buti la zungu, najma, maning nice au hamanju. labda ulisinzia ukadhani mabas mengine yako nyuma ilihali nyie ndio mnaburuza mkia
princeses muro ni scania au ni yutong. kuna sikui ilinipita nilikuwa naendesha langu cruiser niko speed mia hamsin ila alinipita kama nimesimama
yutong na scania zote tupa kule mpango mzima ni LEYLAND
marcopolo ni mabodi na wala si mashine, hataTATA wanatumia mabodi ya marcopolo. Kwa kifupi ni kampuni ya kutengeneza bodi za mabasi.we vipi?mbona sikusomi?kwani marcopolo ni nissan?marcopolo ni haina mojawapo ya scania buses!