ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,035
- 920
Arusha-Mbeya?...Labda kama kaanza jana!...Kuna wakati nilisikia kuwa anazo za Arusha-Mbeya na zinapiga Mzigo kisawasawa, ama kuna mpambe alikuwa anampigia debe tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arusha-Mbeya?...Labda kama kaanza jana!...Kuna wakati nilisikia kuwa anazo za Arusha-Mbeya na zinapiga Mzigo kisawasawa, ama kuna mpambe alikuwa anampigia debe tu?
Marcopolo nyingi ni scania 94hp mkuu,
marcopolo,ni body tu,wala si engene.Yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo
angalia hivi vibasi vya uda,aina ya tata,vina body ya marcopolo,tofautisheni body na engine.marcopolo ni scania mkuu kabla hata hujaenda katika specification za scania aina gani
Mabasi yote ya mchina yanatisha yakiwmapya,zaidi ya mwaka mmoja yanakuwa nyanya.scania inatisha mazee!,juzi nilipanda scania ya Mbeya to dar,inaitwa NGANGA hiyo n balaa hakuna Cha mchina yeyote alie tufuata kwa karibu
Mwambie azipeleke safari ndefu uone
Hata uje na yutong ya aina gani huwezi kukimbizana na scania irizar,walio jaribu wamepasua viinjini vyao
View attachment 109291View attachment 109292View attachment 109293
SCANIA ZA NAMBA AHK,AHG mpaka leo zinaenda masafa,YUTONG za namba BSC zimekwisha
Tee tee tee, scania ikifuatiwa na marcopolo... !! Mkuu, hii ni kali ya mwaka.ya leo kali
Yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo
Yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo
Yutong za sasa hivi ni imara sana na ndio zilizotawala barabara nyingi...
kingine matajiri wanaangalia faida, Yutong miaka miwili umeshapata faida tofauti na Scania.
Sifa kubwa ya Scania ni uimara wa mashine.!!
Yutong gani zinatawala barabara mkuu,kama kuna yutong imara basi aipeleke route ya Dar-nairobi
au dar-musoma,haziwezi imiri,dar-mwanza tu yutomg haichukui miezi mitano..unaenda kutupa!!ziko wapi zile
yutong za greenstar