Yutong na Scania

Yutong na Scania

Mabasi yote ya mchina yanatisha yakiwmapya,zaidi ya mwaka mmoja yanakuwa nyanya.scania inatisha mazee!,juzi nilipanda scania ya Mbeya to dar,inaitwa NGANGA hiyo n balaa hakuna Cha mchina yeyote alie tufuata kwa karibu
 
...Mkuu na Wakuu, Hivi Kasi ya Gari si inapaswa kumhusisha pia Dereva?? 🙂
 
Hata uje na yutong ya aina gani huwezi kukimbizana na scania irizar,walio jaribu wamepasua viinjini vyao
iriiiizaaaa.jpegirizar.jpegirrriz.jpeg
 
ngoja niwaachie wazee wa TABOA NA DARCOBOA mfanye kaz zenu... hapa me mgeni haswa haswa..!
 
Yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo

Marcopolo ni kampuni ya kutengeneza bodi za mabasi mkuu na wala sio aina ya gari,so inaweza kuwa na bodi ya Marcopolo lakini injini ya Scania n.k
 
Yutong za sasa hivi ni imara sana na ndio zilizotawala barabara nyingi...

kingine matajiri wanaangalia faida, Yutong miaka miwili umeshapata faida tofauti na Scania.

Sifa kubwa ya Scania ni uimara wa mashine.!!
 
Yutong gani zinatawala barabara mkuu,kama kuna yutong imara basi aipeleke route ya Dar-nairobi
au dar-musoma,haziwezi imiri,dar-mwanza tu yutomg haichukui miezi mitano..unaenda kutupa!!ziko wapi zile
yutong za greenstar
 
Niliwahi kumsikia driver mmoja wa haya mabasi ya kwenda upcountry anadai kuwa kuna makampuni matajiri wake wanachukua bodi za Yutong wanavalisha engine za Scania ndio maana kuna baadhi ya mabasi ya Yutong yanakamua isivyo kawaida lakini yana engine za Scania....
 
Yutong gani zinatawala barabara mkuu,kama kuna yutong imara basi aipeleke route ya Dar-nairobi
au dar-musoma,haziwezi imiri,dar-mwanza tu yutomg haichukui miezi mitano..unaenda kutupa!!ziko wapi zile
yutong za greenstar

Mkuu sijasema Yutong anaweza kumzidi Scania kwa uimara...

mkuu angalia barabara Dar- Songea, Dar-Mbeya,Tunduma na Kyela uone mchina anavyosumbua barabarani.

Ila Sifa kubwa ya Scania ni uimara, Yutong nyingi zinakuja zinapotea lakini za zamani bado zipo.!!
 
Nilisafiri na scania toka Ubungo kwenda mby, na basi la nganga scania lilikuwa la nne kutoka terminal na yalitangulia Newforce,nakuhakikishia kabla ya mlandizi tuliwapita na tuka ingia Mbeya Wa kwanza.Achana na scania.juzijuzi nilikuwa lindi scania za wahidas zilikuwa za kwanza kuingia pale wakati hao Wa China waliingia baada ya nusu Saa,ujue wahida mabus yao ni ya zamani sana ukilinganisha na yutong
 
Back
Top Bottom