Yutong na Scania

Yutong na Scania

Daaah kwa speed yutong ni mwisho mfano safari ya Dar-Mwanza,,,,mi huwa napoa sana maeneo ya natta,karibia kila siku zile yutong za super sammi ndo zinaongoza,,,kuna majamaa huwa wanasema hiyo gari ni zaidi ya dushelele,,,,,,,
 
Kweli kabisa. Kwani hata Toyota Landcruiser VX, Toyota Prado, Toyota Corolla, Toyota Camry n.k. ni company tofauti.

sio company moja aina tofauti.......?.....mnanichanganya mjue.........
 
You can not rely on chinese trucks. Why?
1. Wanakopy na ku-paste
2. Engineering concept inakuwa ya kuiga
3. Wanchokifanya wao n ku design the same Mercedez Benz ambayo unaitwa Beeben, then when you want to push the truck to the maximum, tolerance inkuwa zero.
If you know Engines and how it's supporsed to work, scania, Benz, Volvo , Man,caterpillar , Detroit ,then you know what in talking about.
Achana na concept ya kuongezea sensor ya truck detection wakati wa mlima au mteremko, I'm talking about the the really monsters, Kama hizo nilizozisema hapo chini

General.Nadhani watu awajaelewa concept ya Scania Bus ambayo ni original na Bus la scania chases yake niya lori.When you decide to enter into a business you should make a financial analysis the payback period,the anticipation of breakeven,the risk associated with the business.For me Scania bus original not scania bus with lorry chases,they are better for making profit whether it will take long time to make a profit still scania can be better than yutong.
 
jamani,
hiyo safari ya mbali inayochemka yutong ni ipi?
dar to mza?
dar to songea?
dara to mbeya?
dar to arusha?
mnajua ni aina gani ya basi zmeshika hzo njia?
au mnazungumzia route za kigoma na bukoba?
mnajua aina gani ya gari zinaenda kigoma na bukoba?
1.mmewahi kujiuliza ni kwanini znaenda huko?
2.je?zilianzia huko au zimeenda huko baada ya kutumika sehemu nyingne?
hii pia inawahusu ndugu zetu wa lindi na mtwara japo siwaweki miongoni mwa safari ndefu.
kwa ishu ya usafirishaji wa abiria, yutong ni gari ya biashara!

Marcopollo ni watengenezaji wa body za mabasi. Iwe tata, scania au Benz, wao kazi yao ni kujenga body tu. Yutong vs Scania? Scania wins
 
Marcopollo ni
watengenezaji wa body za mabasi. Iwe tata, scania au Benz, wao kazi yao
ni kujenga body tu. Yutong vs Scania? Scania wins

nadhani hayo majibu pale ulipoyaweka hayakustahili.
labda ungejibu zile hoja
 
Mkuu multmandalin, sidhani Kama unajua nn kinaongekewa hapa, huwezi zungumzia basi bila kujua jiko gain liko ndani yake(Engine), Kama n marcopolo, irizar,torino, inter century, tourismo Caio, hizi zote n body builders , n sawa na daf cf in a engine ya cummins, marcopolo Kama mnavyosema, sio scania, inaweza ikawa n toyota yenye body la marcopolo. Refer to TATA marcopolo. South Africa.

Jibu lako n kwamba, HOWO, SINO TRUCK, YUTONG guanziu truck, Beeben and the trushed up truck from china, are non- compared to the systematic engineering concepts.
 
Yes Shepherd, now we are on the same line, scania as scania, is so far away, technologically, trucking,and the marketing concepts.
If you are cheap, then your biz will be cheap as well, I can not have a Yuton or HOWO. Wherever you call it. As I said before biz is not all about making profit, it's all about retaining customers.

Remember , 100% ya watu ulowasave kwenye cm yako, n 10% tu ndo huwa unafanya nao mawasiliano.
So those 10% are your premium clients.
You can not retain clients if you are using Yuton sijui HOWO vinginevyo biashara unayofanya n ya kindungu

Dar express is my role model.





General.Nadhani watu awajaelewa concept ya Scania Bus ambayo ni original na Bus la scania chases yake niya lori.When you decide to enter into a business you should make a financial analysis the payback period,the anticipation of breakeven,the risk associated with the business.For me Scania bus original not scania bus with lorry chases,they are better for making profit whether it will take long time to make a profit still scania can be better than yutong.
 
yutong hazitumii injini za mchina ila za muingereza zinzoitwa cummings.ni mojawapo ya injini bora kabisa.
 
Huu n msaada mkubwa kwa watu ambao wangetaman kuwa na aina hii ya biz, basi Kama basi, si chochote zaidi ya engine ilokuwepo pale ndani, body ya basi inaweza tenegenezwa hata dampo( kwa wale waliomo Dar na wenye kuhusika na engines wanaelewa), lazier kwanza ujue which engine is inside, mfano, ukipata basi body ya marcopolo, irizar, Caio , inter century ambayo ni bus body original ya scania, then ukawa na Engine ya CATERPILLAR AU DETROIT, you are better off to make profit, hata Kama n 12 years to come. Matatizo ya hizi engines yanaanza Baada ya adormeter kusoma 1.2 million kilometers..

Inawezekana pia YUTONG n body, harafu engine ni cumming, au some crazy Italian machines.

I wish my bus could have a RR engine on it. 360km per hour, 550 breaking horse power, 2.5 hours from Dar to Arusha. C ndo mnavyotaka.
 
yutong hazitumii injini za mchina ila za muingereza zinzoitwa cummings.ni mojawapo ya injini bora kabisa.

I wish kujua zaid kwa sababu navyojua mimi cummis ni Engine inafungwa kwa scania 124 (420) inakuwa na pump ya umeme very powerful and high speed monster!!!!!

Hii ya Yutong nifahamishe mkuu
 
Back
Top Bottom