Yutong/zongtong/Higer and scania buses

kilimanjaro express body zile ni mpya kabisa wanachukulia marcopolo south africa chassis na injini ndio wanafunga za malori labda wewe ulipanda zile namba A kajaribu namba D
Yutong Zhongton na Dragon vipi wanazisifia sana ubora wake ukoje.
 
Yutong Zhongton na Dragon vipi wanazisifia sana ubora wake ukoje.
yutong f12 zipo vizuri lakini zinazidi mizani zikiea na mizigo mingi,zhongtong climber zipo vizuri hata Golden dragon zipo vizuri ingawa ndio toleo lao la kwanza lakini zimeweza kutembea zaidi ya km1000 kwa siku bila kuleta tatizo lolote
 
OK lakini mbona majirani zetu wanapendaga yakuchonga kuliko haya ya bei rahisi ya China.
 
OK lakini mbona majirani zetu wanapendaga yakuchonga kuliko haya ya bei rahisi ya China.
yale ya kuchonga ni bei rahisi zaidi kuliko za kichina na saizi wameanza kuagiza za kichina kwa kasi sana
 
yale ya kuchonga ni bei rahisi zaidi kuliko za kichina na saizi wameanza kuagiza za kichina kwa kasi sana
Tofauti yakuchonga yanabeba mzigo mkubwa sana na asilimia kubwa yanabeba mzigo mwingi na abiria hivyo wanatengeneza faida zaidi ndio manake wanachukua hizo za kuchonga au fuso bus chases ya fuso body ya bus yenye uwezo wa kubeba abiria 40-50.
 
basi ukitaka libebe mizigo mingi chassis inatakiwa iwe ni ya 6x2 badala ya 4x2 kama ulishafatilia Irizar century linapakia sana mzigo na huwezi kuta linazidi mzani
 
Axle configuaration (single na terias/triaxle au basi la tairi nane 6X2 na basi la tairi sita 4x2)
Nishakupata mkuu, ila katika sector ya usafirishaji watanzania tumejitaidi sana apa Tanzania
 
Sema sector hii ngumu sana kuwamudu madereva. Maana uwa waausumbufu sana
 
Polo haina engine ya Lori. Mkuu wewe ni dereva au mbna umekariri mpka number plate.
Ndio taita mwenyewe mkuu, sio dereva ndio maana anajua hizo namba.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]
 
mkuuu iliyoua pale ilikuwa ni Shabiby, na alikuwa anafuata moto wa kiswele enzi zile ndo yakamkuta yale!!!
 
hapo unaongelea upande wa body na interior na ukumbuke tozo za nauli kwa tanzania zinapangwa na sumatra kulingana na hadhi ya gari shabiby tu na ratco ndio walioruhusiwa kujipangia nauli kutokana na baadhi ya gari zao kuwa ni v.i.p
Hiyo Ratco kimeo sana bora hata Tash ana mabasi mazuri, luxury ya tash tsh 15000/= seat leather tupu, ratco 18000 lkn uchuro mtupu mfano basi yake T.561 CAZ, wizi mtupu
 
yutong f12 zipo vizuri lakini zinazidi mizani zikiea na mizigo mingi,zhongtong climber zipo vizuri hata Golden dragon zipo vizuri ingawa ndio toleo lao la kwanza lakini zimeweza kutembea zaidi ya km1000 kwa siku bila kuleta tatizo lolote
Nimekuelewa sana golden dragon ni nzuri sana nionavyo mimi
 
Kwa hiyo kuna wabongo wamewekeza kwenye biashara ya mabasi Zambia na SA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…