Kakondele
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 238
- 214
kilimanjaro express body zile ni mpya kabisa wanachukulia marcopolo south africa chassis na injini ndio wanafunga za malori labda wewe ulipanda zile namba A kajaribu namba D
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kilimanjaro express body zile ni mpya kabisa wanachukulia marcopolo south africa chassis na injini ndio wanafunga za malori labda wewe ulipanda zile namba A kajaribu namba D
Yutong Zhongton na Dragon vipi wanazisifia sana ubora wake ukoje.kilimanjaro express body zile ni mpya kabisa wanachukulia marcopolo south africa chassis na injini ndio wanafunga za malori labda wewe ulipanda zile namba A kajaribu namba D
yutong f12 zipo vizuri lakini zinazidi mizani zikiea na mizigo mingi,zhongtong climber zipo vizuri hata Golden dragon zipo vizuri ingawa ndio toleo lao la kwanza lakini zimeweza kutembea zaidi ya km1000 kwa siku bila kuleta tatizo loloteYutong Zhongton na Dragon vipi wanazisifia sana ubora wake ukoje.
OK lakini mbona majirani zetu wanapendaga yakuchonga kuliko haya ya bei rahisi ya China.yutong f12 zipo vizuri lakini zinazidi mizani zikiea na mizigo mingi,zhongtong climber zipo vizuri hata Golden dragon zipo vizuri ingawa ndio toleo lao la kwanza lakini zimeweza kutembea zaidi ya km1000 kwa siku bila kuleta tatizo lolote
yale ya kuchonga ni bei rahisi zaidi kuliko za kichina na saizi wameanza kuagiza za kichina kwa kasi sanaOK lakini mbona majirani zetu wanapendaga yakuchonga kuliko haya ya bei rahisi ya China.
Tofauti yakuchonga yanabeba mzigo mkubwa sana na asilimia kubwa yanabeba mzigo mwingi na abiria hivyo wanatengeneza faida zaidi ndio manake wanachukua hizo za kuchonga au fuso bus chases ya fuso body ya bus yenye uwezo wa kubeba abiria 40-50.yale ya kuchonga ni bei rahisi zaidi kuliko za kichina na saizi wameanza kuagiza za kichina kwa kasi sana
basi ukitaka libebe mizigo mingi chassis inatakiwa iwe ni ya 6x2 badala ya 4x2 kama ulishafatilia Irizar century linapakia sana mzigo na huwezi kuta linazidi mzaniTofauti yakuchonga yanabeba mzigo mkubwa sana na asilimia kubwa yanabeba mzigo mwingi na abiria hivyo wanatengeneza faida zaidi ndio manake wanachukua hizo za kuchonga au fuso bus chases ya fuso body ya bus yenye uwezo wa kubeba abiria 40-50.
Axle configuaration (single na terias/triaxle au basi la tairi nane 6X2 na basi la tairi sita 4x2)Iyo 6*2 au 4*2 ni mita au feet
Nishakupata mkuu, ila katika sector ya usafirishaji watanzania tumejitaidi sana apa TanzaniaAxle configuaration (single na terias/triaxle au basi la tairi nane 6X2 na basi la tairi sita 4x2)
kidogo sana ukilinganisha na nchi nyingineNishakupata mkuu, ila katika sector ya usafirishaji watanzania tumejitaidi sana apa Tanzania
Ndio taita mwenyewe mkuu, sio dereva ndio maana anajua hizo namba.Polo haina engine ya Lori. Mkuu wewe ni dereva au mbna umekariri mpka number plate.
mkuuu iliyoua pale ilikuwa ni Shabiby, na alikuwa anafuata moto wa kiswele enzi zile ndo yakamkuta yale!!!zainabs zilifungiwa baada ya kuuwa watu 52 pale luhimba mpakani mwa mkoa wa njombe na ruvuma kuna makaburi ya ukombusho pale toka afutwe na sumatra akavua bodi za basi na kubaki lori za mizigo na kwa kuwa alikua akifukuzana na shabiby wao wakafungiw ruti ya ruvuma
Hiyo Ratco kimeo sana bora hata Tash ana mabasi mazuri, luxury ya tash tsh 15000/= seat leather tupu, ratco 18000 lkn uchuro mtupu mfano basi yake T.561 CAZ, wizi mtupuhapo unaongelea upande wa body na interior na ukumbuke tozo za nauli kwa tanzania zinapangwa na sumatra kulingana na hadhi ya gari shabiby tu na ratco ndio walioruhusiwa kujipangia nauli kutokana na baadhi ya gari zao kuwa ni v.i.p
scania ni gari nzuri bana
Nimekuelewa sana golden dragon ni nzuri sana nionavyo mimiyutong f12 zipo vizuri lakini zinazidi mizani zikiea na mizigo mingi,zhongtong climber zipo vizuri hata Golden dragon zipo vizuri ingawa ndio toleo lao la kwanza lakini zimeweza kutembea zaidi ya km1000 kwa siku bila kuleta tatizo lolote
Kwa hiyo kuna wabongo wamewekeza kwenye biashara ya mabasi Zambia na SA!Samaritani hayo mabasi hapa hakuna kwa sababu vitu vizuri vinaonekana anasa hapa kwetu ndio maana hao watanzania wenye mabasi hayo wamewekeza Zambia, South Africa na Zimbabwe sio kwamba wanashindwa kuleta huku ni vitu vingi vinafanya biashara ya mabasi quality kutokuja hapa na si kweli yakija mabasi bora kama hayo watashindwa kufanya kazi hapa ni vile wameona kule kwa sasa ni faida mara dufu zaidi ya hapa...