lakini mchina anakupa kitu kulingana na bajeti yako kaangalieni yutong zinazotumika huko ulayaKaka situmii mchina. Ni kweli wachina wameshika soko kwa kigezo kimoja tu cha bei ya chini lakini ubora wa kazi zao ndio tatizo. Hata majengo.na barabara fuatilia kote wanakofanya kazi alafu baada ya miaka miwili uone hiyo barabara ilivyochakaa.
Kutokuwa na uwezo wa kifedha kunatupa shida sana katika kufanya maamuzi na huo ndio ukweli.
Mkuu kama unakumbuka kulikua na newforce nyekundu ,vijifupi tulivibatiza jina new force vipisi , injin yake ipo nyuma.. Niliwah kukapanda mbeya-dar mbona nilitaman kushukia njian.. Dereve anaendesha kama ikitokea ajali jafi. N mwendo pitch kibati… anaovertk mpaka kitonga, yan anashuka kama haoni zile kona…Kuna kipindi nilikuwa natumia sana usafiri wa ABOOD Scania toka Tunduma to Dar kipindi hicho ndo alikuwa anaongoza soko na zilikuwa zinatembea vizuri tu mara gafla akatoke mchina new force,Colour Star,Saibaba watu wote tukalikimbia ABOOD mpaka leo huwa anapakia abiria baada ya gari zote za mchina kuondoka sasa akaanza kujikosha maraa oohh siwezi nunua mchina sasa hivi nadhani ndo anaongoza kwa kuwa na gari nyingi za mchina hahahaahhaha hapana chezea mchina aiseeee anajua afanye nini na kwa wakati gani
Kuna hizo gari zenye engine ya scania Mghamba express kama sio traffic na mataa barabaran yaaan ni gari zinazowanyoosha madereva wote wa dar from Mwanza wanakuja kumkuta jamaa Singida kapoa lunch...nadhani mliowahi kupanda kipindi hcho mnazielewa hizi gar(Ndege za Arusha)Kwa hio hata zile Mghamba zote, missisipi, amazon, captain, bughati, Suez canal, brigedia, sauti ya kamanda, air force one, Zambezi ni engine za malori?
Halafu engine za horses ndo zinafungwa kwenye hzo chassis bishascania hatengenezi mabasi scania anatengeneza chassis tu za mabasi
hata mimi ninaongea habari ya injini ndio maana nimetoa hoja katka performance za gari ktk masafa marefu,milima na uimara wa gari kudumu muda mrefu. zile hood body zimechoka lakini injini zake ndo kwanza bado zinadaitunaongelea injini hatuongelei mabody mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28]Hood mashine kabadilisha mara ngapi palehata mimi ninaongea habari ya injini ndio maana nimetoa hoja katka performance za gari ktk masafa marefu,milima na uimara wa gari kudumu muda mrefu. zile hood body zimechoka lakini injini zake ndo kwanza bado zinadai
Wanasema wanamwaga motoMkuu kama unakumbuka kulikua na newforce nyekundu ,vijifupi tulivibatiza jina new force vipisi , injin yake ipo nyuma.. Niliwah kukapanda mbeya-dar mbona nilitaman kushukia njian.. Dereve anaendesha kama ikitokea ajali jafi. N mwendo pitch kibati… anaovertk mpaka kitonga, yan anashuka kama haoni zile kona…
Au tunazungumzia mabasi au malori ya mizigotunaongelea injini hatuongelei mabody mkuu
Scania anaisoma namba kwenye soko lipi?Huyu haangalii market trends, kwa taarifa ni kuwa scania anaisoma namba habari ya mjini ni Yutong and the likes kwa mfano kampuni ulizotaja zinatumia scania yaangalie hayo mabasi yote yamezeeka, hebu taja basi moja tu jipya pale Ubungo model ya scania
kaka umenikbusha kuna jamaa alikua anaitwa msomari alikua akiendesha zainabs za songea alishawai fika songea sa kumi kasoro pale stendi watu wote walimshangilia sana zile kelele akazisikia RPC akaja kuuliza kulikoni wakamjibu wanamshangilia Msomari katoka dar palepale akatiwa seroMkuu miaka ya nyuma akikuepo dereva anaitwa Giriki na mwingine Cheupe ashawahi fika mbeya saa nane mchana imetoka Dar 12 alfajiri gari lilipiliza Central unazungumzia kipindi cha tochi na Sumatra mabasi yanatoka mbeya alfajiri na usiku...
Yani post zote hizi hujui kinachojadiliwa na wapi?Scania anaisoma namba kwenye soko lipi?
engine za horses ndo injini ganiHalafu engine za horses ndo zinafungwa kwenye hzo chassis bisha
Hiyo figure nimefanya exchange rate kutoka Dollar kwenda shilingi siku husika.KLM nilipata ukakasi baada ya kugundua body nizamacropolo hila ndani zipo used kuendana na muonekano wake ndani.mkuu hizo gari viaggio 1050G7 sidhani kama zinafika mil 900 kwa kipindi alichonunua dar express maana nilishawai kuuliza marcopolo sa wakasema hazipishani sana na bei ya Andare G6 vile vile kilimanjaro express yeye ananunua mabody kutoka marcopolo na kuyavisha chassis na injini za malori za mwanzo alifunga 94D hizi za sasa hivi kafunga P230 opticruise na upande wa gari za kichina ulishawai kuona yutonga f12,f9,Higer,goldendragon,kinglong,zhongtong climber imefungwa vitu vya scania??
kilimanjaro express body zile ni mpya kabisa wanachukulia marcopolo south africa chassis na injini ndio wanafunga za malori labda wewe ulipanda zile namba A kajaribu namba DHiyo figure nimefanya exchange rate kutoka Dollar kwenda shilingi siku husika.KLM nilipata ukakasi baada ya kugundua body nizamacropolo hila ndani zipo used kuendana na muonekano wake ndani.