Kakondele
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 238
- 214
lakini mchina anakupa kitu kulingana na bajeti yako kaangalieni yutong zinazotumika huko ulayaKaka situmii mchina. Ni kweli wachina wameshika soko kwa kigezo kimoja tu cha bei ya chini lakini ubora wa kazi zao ndio tatizo. Hata majengo.na barabara fuatilia kote wanakofanya kazi alafu baada ya miaka miwili uone hiyo barabara ilivyochakaa.
Kutokuwa na uwezo wa kifedha kunatupa shida sana katika kufanya maamuzi na huo ndio ukweli.