Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Ni yutong hiyo?Mkuu hizo treiler ni kwa ajili ya kubeba mzigo wanaopanda humo ni wafanyabiashara kutoka SA mizigo inawekwa nyuma na katika boot ilo treiler linapakia mzigo tani 12.,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yutong hiyo?Mkuu hizo treiler ni kwa ajili ya kubeba mzigo wanaopanda humo ni wafanyabiashara kutoka SA mizigo inawekwa nyuma na katika boot ilo treiler linapakia mzigo tani 12.,
Engine Scania, body iriza iq 9 na 10Ni yutong hiyo?
Hiyo hadi ifike bongo na usajiri juu naweza kupata kwa ngapi?Engine Scania, body iriza iq 9 na 10
Hivi mnayafahamu kisbo?Mwanapropaganda wanavyonunua wanaagiza body brazil ukiwa South Africa then unaenda Scania kununua chasis wao ndio wataunganisha kila kitu mara ya mwisho kwa walio na base Zambia wanadai ni usd 550,000 kwa kila kitu mimi naona ni ghari sana bora upate tuu yutong au used Scania matoleo ya sasa hivi..
zainabs zilifungiwa baada ya kuuwa watu 52 pale luhimba mpakani mwa mkoa wa njombe na ruvuma kuna makaburi ya ukombusho pale toka afutwe na sumatra akavua bodi za basi na kubaki lori za mizigo na kwa kuwa alikua akifukuzana na shabiby wao wakafungiw ruti ya ruvumaNazikumbuka Zainabs, zilikua zinapiga kama sio Mbeya, Songea. Kuna siku ilitupita tupo kwenye Tawaqal, sis wenyewe tulikua tupo moto bati lakini alituachia vumbi tena sio ile kidogo kidogo, ni ile jamaa anapotea kama mmesimama.
Nafikiri alikuja kumuuzia Shabiby hizo basi.
zainabs zilifungiwa baada ya kuuwa watu 52 pale luhimba mpakani mwa mkoa wa njombe na ruvuma kuna makaburi ya ukombusho pale toka afutwe na sumatra akavua bodi za basi na kubaki lori za mizigo na kwa kuwa alikua akifukuzana na shabiby wao wakafungiw ruti ya ruvuma
kama swala la luxury ndugu yangu umeshapanda zile gari za modern cost ni scania ila ndani ni zaidi ya fast jet kuna zile za nairobi mombasa ni single siti kuna jamaa anaitwa air bus pale nairobi anachonga body wacha kabisa youtong zinasubiriIsanga family kitu unachoshindwa kutofautisha ni kimoja, kwa upande wangu nimesifia mabasi ya wachina kwa sababu wanaelewa mahitaji ya soko. Ukiongelea uimara na ubora, Scania, Volvo, Benz, Leyland and the likes ndio magwiji, tatizo linakuja pale ambapo bei yao iko juu sana kulinganisha na mchina.
Sasa hata kama Scania inadumu, lakini itakua imechakaa, hauwezi kulinganisha na Mchina mpya hata kama hatadumu sana lakini abiria ndio wanachokihitaji, anasa. Mchina kwa anasa hajambo mkuu. Hizo picha za mabasi ulizoziweka umeshawahi kuziona hapa bongo? Unafikiri ni kwanini? Biashara inahitaji kusoma upepo wa mwenendo wa soko unavyoenda. Unaweza kuwa na bidhaa bora kuliko washindani wako wowote, lakini kama hakuna soko na watu wanakimbilia mbadala lazima ubadili formation ya mchezo kutokana na mchezo unavyoenda.
Scania ni gari nzuri sana kama mercedes actros tofauti kubwa iliyopo actros inatembea mazingira yote. Lami barabara ya vumbi na matope hata kukiwa hakuna njia yaani pori actros inapita. Scania shida yake ni kwenye matope huwa haina ujanja kabisa inaweza kukwama kirahisi kwenye tope. Actros haikwami labda ikalie dif zote mbili. Pamoja na hayo hakuna gari nzuri kwa barabara za africa kama scania na mercedes actros.Wasafirishaji wa mizigo wengi wanatamani kupata Actross na wanayoyajua ma Truck kama wasomali waliopo msumbiji wao ni Actross tuu wanatushangaa sisi na Scania msomali akija mnadani asipokuta Actross na zipo scania, volvo na man zipo yeye anasema hakuna gari leo na bei ipo juu zaidi ya hayo yote..,
Gari za kichina zimekuja kwa wingi sana kwenye soko la Tanzania kwasababu ni cheap kwa bei na pia running cost lakini tatizo kubwa hazidumu. Zaidi ya asilimia 80 ya gari za kichina unazoziona ubungo zimefanyiwa overhaul zikiwa hata hazijamaliza miaka miwili. Halafu zina shida mojai kiua piston moja inabidi ubadili zote usipofanya hivyo baada ya safari zisizozidi kumi inaua piston zingine zote. Scania ukinunua mpya japo ghali sana unapewa guarantee ya 10yrs. Kama wewe ni mfuatiliaji angalia marcopolo za abood, hood, dar express, kilimanjaro utajua kuwazina zaidi ya miaka kumi na hazioneshi kama zimechoka.Nimekusoma mkuu, uliposema kumbe naongelea Ubungo ndio nikataka nikutahadharishe kwamba wachina wanakuja juu sana, na ni threat kwenye kila idara. Tatizo lao vitu havidumu na vingine uimara unakua mzozo. Unaona hata makampuni makubwa wameenda kufungua ofisi zao huko kupunguza gharama za uzalishaji?
Ndio maana magari ya mizigo hana ushawishi sana, hali kadhalika makatapila huko mado wakongwe wataendelea kutawala.
Nimekupata vizuri sana mkuu.
Nafikiri wewe ndio uko nyuma panda marcopolo mpya za dar express zinazoenda dar - nairobi utajua kama yutong ni cha mtoto. Hiyo basi ni 600m pale sub scania. Ni basi classic sana huwezi kujutia kuzipanda mwendo na nguvu sio vya kuuliza.Wewe abiria anaanza kuangalia kwanza body is it attractive? On board products pia, Wachina wamekuwekea hadi usb port sasa unakuja na Marcopollo limeshachoka unafikir wabongo wako sensitive na time?
Mkuu nakuomba ingia Wikipedia, usiingie Google, utakuta option nyingi, ukiingia huko directly tafuta hizo Higer uone. Hao wachina ni kiboko. Tena wameingia ubia wa kitengo cha R&D,kimsingi walishirikiana kutoa Engine na hao Scania. So naamini Wachina wakiamua kutoa kitu kwa matumizi ya Wazungu kinakua cha ukweli mnoKwa Tanzania(Africa?) hakuna mashine inaiweza scania
Renault & ManKwa Tanzania(Africa?) hakuna mashine inaiweza scania
......Brother Hujawai Kupanda Scania Classic wew! Huzijui Scania Wew!! Nimepanda Classic Scania Nimepanda Classic Chinese Buses But Kumkuta Scania Hapana Badooooo!! Scania Labda Yupo Level moja na Kina Hyundai Sio Takataka Nyingne!! Kwanza Ubora wake Upo Juu Sana kuanzia Engine hadi seat Zake,Zina Seat Pana kam Ndege za Fly Emirates, Pili Zina Dumu Kwa Muda Mrefu sana Ukilinganisha na Hizi Bus zenu, Tatu Zinakimbia Sana Iwe Milimani, Tambarare au MteremkoniHapa tunaongelea vitu viwili tofauti, nakubali kwamba kwa uimara na umathubuti, Scania hana mpinzani lakini hicho kinazifanya ziwe na bei ya juu sana kwa wafanya biashara. Mchina amekuja na gari zake zenye kila aina ya anachohitaji abiria nikimaanisha comfortability na anasa zote. Juzi nimepanda moja wameweka hadi USB port unacharge simu yako, haukosekani hewani kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari.
Unaposema Mchina hawakamati akina Scania, weka bayana kwa upande upi, uimara wa gari au soko? Fanya uchunguzi kidogo tu, nenda ubungo stand ya mabasi, angalia kati ya mchina na Benz, Scania mabasi gani mengi?