Yutong/zongtong/Higer and scania buses

Yutong/zongtong/Higer and scania buses

Endelea ongozana nayo baadaye jioni unipe taarifa amekupoteza saa ngap.

Kwa sasa hivi hawatapotezana sana mkuu, kuna sheria za barabarani zinabana sana mabasi, hayaendi kabisa. Mabasi yote ya Mwanza lazima yalale njiani. Mwendo mdogo sana.
 
K
kipindi hicho yalikuwa ni malori yaliyofungwa chassis za mabasi na gari aliyokuwa nayo giriki ilikuwa imechezewa pampu giriki mwenyewe anasema hivyo saizi anaendesha adventure dar_Kigoma
Duh kumbe bado anaendesha jamaa ni mkongwe sana kwenye issue za mabasi. Alishindwa gari moja tu volvo za zainab ilikuwa ni balaa vile volvo.
 
Mkuu sio swala la utafiti hapo nikuelekeze kitu kimoja Nchi za kusini mfanyabiara ananunua basi mpya harafu yeye anakodisha kwa wasafirishaji maeneo ya Limpompo unakuta kaburu ana mabasi Scania kama ya ubungo hayo yote tena anakua na yard tatu mpaka tano na wapo wengi...sasa hivi wanachukua za kichina kwa ajili ya Zimbabwe na Zambia, SA hawajazi thibitisha ubora wake kwa matumizi yao kwa sasa ila nadhani wataingia mkuu mimi sipo kubishana hapa na utafiti ufanyike wa dunia au wa Ubungo...?
Kaka Mchina anauza Dunia nzima sio ubongo tu
 
Kuna kipindi nilikuwa natumia sana usafiri wa ABOOD Scania toka Tunduma to Dar kipindi hicho ndo alikuwa anaongoza soko na zilikuwa zinatembea vizuri tu mara gafla akatoke mchina new force,Colour Star,Saibaba watu wote tukalikimbia ABOOD mpaka leo huwa anapakia abiria baada ya gari zote za mchina kuondoka sasa akaanza kujikosha maraa oohh siwezi nunua mchina sasa hivi nadhani ndo anaongoza kwa kuwa na gari nyingi za mchina hahahaahhaha hapana chezea mchina aiseeee anajua afanye nini na kwa wakati gani
 
Kaka

Nafikiri wewe ndio uko nyuma panda marcopolo mpya za dar express zinazoenda dar - nairobi utajua kama yutong ni cha mtoto. Hiyo basi ni 600m pale sub scania. Ni basi classic sana huwezi kujutia kuzipanda mwendo na nguvu sio vya kuuliza.
Zipo ngapi ndugu? Halafu usininukuu vbaya sijasema scania wako hovyo hapana wana gari nzuri sana kuliko za kichina hasa ukiwa mfatiliaji wa mpira utaona mabasi ya timu za Ulaya ni mazur mno ila nachowaambia soko now limeshikwa na China kuanzia mabasi, hv kuna simu ilipendwa kama nokia hapa bongo now imebaki story najua hata wewe unamtumia brand ya kichina nenda kwenye ujenzi maghorofa mjini, roads and bridges Mchina wakati zamani alikuwa Kajima
 
scania hatengenezi mabasi scania anatengeneza chassis tu za mabasi
 
Kaka

Nafikiri wewe ndio uko nyuma panda marcopolo mpya za dar express zinazoenda dar - nairobi utajua kama yutong ni cha mtoto. Hiyo basi ni 600m pale sub scania. Ni basi classic sana huwezi kujutia kuzipanda mwendo na nguvu sio vya kuuliza.
Hii ni shabiby Yutong f13
1472557300169.jpg
 
......Brother Hujawai Kupanda Scania Classic wew! Huzijui Scania Wew!! Nimepanda Classic Scania Nimepanda Classic Chinese Buses But Kumkuta Scania Hapana Badooooo!! Scania Labda Yupo Level moja na Kina Hyundai Sio Takataka Nyingne!! Kwanza Ubora wake Upo Juu Sana kuanzia Engine hadi seat Zake,Zina Seat Pana kam Ndege za Fly Emirates, Pili Zina Dumu Kwa Muda Mrefu sana Ukilinganisha na Hizi Bus zenu, Tatu Zinakimbia Sana Iwe Milimani, Tambarare au Mteremkoni
kaka unachanganya madesa wewe unaongelea body amabapo scania hawajishughulishi na utengenezaji wa body za mabasi
 
kaka unachanganya madesa wewe unaongelea body amabapo scania hawajishughulishi na utengenezaji wa body za mabasi
Chinese buses nyingi zinachokaga fasta wanachomoa Engine wanaweka za Scania. Inatakiwa muelewe kizur kizur tu. Wafanya biashara wengi TZ wanapenda faida chap chap. Angalia dominant bus companies in TZ. Wanatumia Scania. Kuna Asante Rabbi ambayo imeibuka juzi. Ina basi ka 3 za Scania na inafanya safari za Arusha - Mwanza daily. Buses zinatembea kama kawaida. Ukiangalia bus companies huwa zinaanza na scania kwanza halafu ndo wakisha ji establish wanakimbilia Chinese buses.
 
ahahahahaha zina injini gani asante rabi kama sio injini za malori hizo
 
Zipo ngapi ndugu? Halafu usininukuu vbaya sijasema scania wako hovyo hapana wana gari nzuri sana kuliko za kichina hasa ukiwa mfatiliaji wa mpira utaona mabasi ya timu za Ulaya ni mazur mno ila nachowaambia soko now limeshikwa na China kuanzia mabasi, hv kuna simu ilipendwa kama nokia hapa bongo now imebaki story najua hata wewe unamtumia brand ya kichina nenda kwenye ujenzi maghorofa mjini, roads and bridges Mchina wakati zamani alikuwa Kajima
Kaka situmii mchina. Ni kweli wachina wameshika soko kwa kigezo kimoja tu cha bei ya chini lakini ubora wa kazi zao ndio tatizo. Hata majengo.na barabara fuatilia kote wanakofanya kazi alafu baada ya miaka miwili uone hiyo barabara ilivyochakaa.

Kutokuwa na uwezo wa kifedha kunatupa shida sana katika kufanya maamuzi na huo ndio ukweli.
 
hiyo ina injini ya lori scania 94D_310 tena lilinunuliwa kwa dar express
Kwa hio hata zile Mghamba zote, missisipi, amazon, captain, bughati, Suez canal, brigedia, sauti ya kamanda, air force one, Zambezi ni engine za malori?
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Back
Top Bottom