Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
[emoji23][emoji23][emoji1787] aise watu mna nyongo ila mnakosa pa kutemea.Unakatwa na haji manara
US unaongelea less than 20% of government owned, TZ is like 100%, point ni TANESCO wamefeli na kwanini wanazuia private companies kufanya biashara ya umeme, ulitaka viwanda vya bia na simu viwe vya serikali navyo? what so special about electricity? hakuna haja ya kuzuia fursa ambayo itafanya watu wapate umeme na wapige hela kwa wakati mmojaSi kweli...
Ona hili hapa....
Nchi 2 zinazoongoza kwa kuwa na umeme wa uhakika ni ICELAND na ISRAEL....kote huko serikali ndiyo inayohusika na kusimamia ,kuzalisha na kusambaza umeme....[emoji1787]
Marekani nako pamoja na private companies kuhusika ila FEDERAL GOVERNMENT inasimamia na kuzalisha sawia.....
Karibu Komoni hapa Sondombwa[emoji120]
Anakula pipi nje ya nchi, pale kwake kuna majenereta ya kutosha hana mgao wowoteWaziri wa Nishati, January Makamba yuwapi kwasasa? Sehemu kubwa ya nchi haina umeme mpaka mida hii. Waziri amekaa kimya?
Sawa najua TANESCO walitupa taarifa asubuhi, lakini kwa uzito wa suala hili Waziri alipaswa atoke hadharani atupe updates.
Yuwapi Januray Makamba?
Njoo niko hapa utanikuta na Leo pia umeme hamna tunatumia jeneretaJamii forum kila mtu alikuwa hotelini bongo noma
Waziri wa nini na TANESCO wameshatowa ufafanuzi? Soma Daily News ya leo, hata mtandaoni ipo.Waziri wa Nishati, January Makamba yuwapi kwasasa? Sehemu kubwa ya nchi haina umeme mpaka mida hii. Waziri amekaa kimya?
Sawa najua TANESCO walitupa taarifa asubuhi, lakini kwa uzito wa suala hili Waziri alipaswa atoke hadharani atupe updates.
Yuwapi Januray Makamba?
Hata mimi namshangaa eti anamuulizia waziri??Waziri wa nini na TANESCO wameshatowa ufafanuzi? Soma Daily News ya leo, hata mtandaoni ipo.
January anajiandaa kuja kumtoa madarakani Mama Samia Suluhu Hasan hapo 2025.Waziri wa Nishati, January Makamba yuwapi kwasasa? Sehemu kubwa ya nchi haina umeme mpaka mida hii. Waziri amekaa kimya?
Sawa najua TANESCO walitupa taarifa asubuhi, lakini kwa uzito wa suala hili Waziri alipaswa atoke hadharani atupe updates.
Yuwapi Januray Makamba?