Labda miye ni kilaza maana hata sijaelewa.
Samahani mkuu.
Wakuu mbona inaeleweka kabisa.Acheni kumpiga madogo mleta picha,kama humjui Diva basi ujue wewe si msikilizaji wa redio wala si mfuatiliaji wa taarifa za social networks.Na kama hujaelewa picha angalia vizuri usiwe na papara
kwa hiyo hapo anasemaje sasa sijaelewa
Diva katuma picha Instagram ya kuonyesha simu yake iPhone 5 gold kwamba aliisahau home siku nzima.Lakini ukweli ni kwamba hiyo picha ya simu kaichukua online kutoka kwenye profile ya mtu mwingine na si kweli kuwa ni simu yake.mleta uzi ndio kasema kuwa za mwizi sio 40,akimanisha Diva kadakwa hapo kwa kudanganya,kujionyesha kuwa anamiliki iPhone 5 gold kumbe picha kadownload tu online
Umenisoma Mangi wa kike?
sawa mkuu kwani hiyo simu kwa sasa bi milioni ngapi?