Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Kweli watoto wa sekondari wamezidi huku hahaha.
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
Kweli watoto wa sekondari wamezidi huku hahaha.
Hapo umefikiri nini sasa yaani hiyo takataka kapost huyu bidada anayewaza mapenzi kila sekunde then unafikiria then unajiona Greater thinker hahaha....ila watu tunatofautiana.Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
View attachment 174557
Mtangazaji wa kipindi cha mahaba kiitwacho Ala za Roho kupitia Radio Clouds FM, Loveness Malinzi Diva hivi karibuni alilazimika kuyaanika maungo yake ya sehemu za mapaja kushuka chini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na mmoja wa mashabiki wake.Kupitia blog yake, Diva alidai kuwa siku za nyuma kuna mtu aliomba kuona sehemu hizo za mwili wake hivyo baada ya kumbania sana ameamua kumtimizia haja yake ili afurahi.