Za mwizi zimepungua sana siku hizi hazifiki 40

Sina uhakika sana ila 5s gold size 16GB si chini ya 1.4M

Nikajua hela nyingi labda inakaribia bei ya baby walker.... basi tena ndiyo kajidhalilisha sa na yeye hakufikiria huyu mtu anainyesha yupo sehemu zq baridi na huyu diva sijui yupo dar hivi wapi na wapi any way uchambuzi wa mambo unaniwia ngumu
 
Nikajua hela nyingi labda inakaribia bei ya baby walker.... basi tena ndiyo kajidhalilisha sa na yeye hakufikiria huyu mtu anainyesha yupo sehemu zq baridi na huyu diva sijui yupo dar hivi wapi na wapi any way uchambuzi wa mambo unaniwia ngumu

Hahahahaaa umetisha hiyo ya baby walker.Huyo bibie mashauzi sana na insta ndio sehemu ya mashauzi,binafsi insta hata sijui inafananaje zaidi ya kuona picha kama hivi sababu ya mashauzi ya watu wa huko.

Ila upo vizuri,1.4M unasema hela ndogo,Tembosa kazi anayo kule MMU,hahahahaaa
 
kumbe huyo ni mtangazaji maarufu! ahsanten kwakunijulisha na yupo radio/tv gani na kipindi/vipindi vyake ndio vinaitwaje..? nataka nianze kufuatilia.
 

Ni ndogo mkuu any way nisiongee zaidi
 
ha ha haa! Hapo ni mchanganyiko wa teknologia. Ambao hawajaelewa hili chezo ni wale 'woote' ambao hawajui kuwa kuna mtandao unaitwa Instagram. 'Mcheza shoo' hiyo inaonekana kacopy picha ya sim kali kutoka mamtoni alafu kafanya ndio anamiliki yeye ili awarushe roho ma fans wake...
Asante mleta madawati, ops, mleta mada kwa kumu expose huyo 'mtangaza uji'
 

Mtangazaji wa kipindi cha mahaba kiitwacho Ala za Roho kupitia Radio Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ hivi karibuni alilazimika kuyaanika maungo yake ya sehemu za mapaja kushuka chini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na mmoja wa mashabiki wake.Kupitia blog yake, Diva alidai kuwa siku za nyuma kuna mtu aliomba kuona sehemu hizo za mwili wake hivyo baada ya kumbania sana ameamua kumtimizia haja yake ili afurahi.
 
Ahhhhhh kumbe nilishaelewa, yani akili zngne bana, nkajua kuna kubwaaaa kumbe hilo hilo nililohisi.
 
Mimi naona kuna taulo na bakuli tu,mengine siyaoni.

Hahahahaaaaa, umenifurahisha sana. Kuna msemo unaaosema ukiona huelewi jua
haikukusudiwa kwako, hii posti wenyewe (wana wa facebook, instagram kule
wanakoposti utumbo na ngono) wameelewana...
 

Cheki DIVA anavyowadanganya Wafuasi wake.... anaiba picha, Anaji-adobe! ona hii!
Diva ndio maeneo/mtaa gani hapa Dar es salaam? kwa anayejua tafadhali.huyo mwizi ndio kapatikana na iyo product?
 
Vijana wa kileo bwana sijui amekurupuka tu na kuandika utumbo utumbo kisa hangover ya sikuuu zinazotokana na miezi.
Wewe utakufa kwa kijiba cha roho. Sikukuu ya miezi inaingia vipi kwenye hii mada?
 
Kwa nini isiwe the other way around? Kwani haiwezekani hyo account nyingine ku-copy kutoka kwa deva sijui diav.
 

Kwani post. Za Chuo hazijatoka tu mambo ya ista wanaleta huku hawajui huku ni kwa kina mama Fulani na baba Fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…