Za mwizi zimepungua sana siku hizi hazifiki 40

Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
Hapo umefikiri nini sasa yaani hiyo takataka kapost huyu bidada anayewaza mapenzi kila sekunde then unafikiria then unajiona Greater thinker hahaha....ila watu tunatofautiana.
 
Aaghh bado cjaelewa na kichwa kinaniuma tu hapa, sasa kama simu aliacha nyumbani nani ameipiga picha na kumpelekea huko aliko?
 

Mbona amekomaa mapaja yenyewe, utafikiri yale majogoo kule kwetu tulikuwa tunayaita kuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…