Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

Wachezaji ndo wamechoka mchawi usajili wa maana vinginevyo hata aje pep guardiola timu itafanya vibaya tu.

Yanga hawajui mpira
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jinga kweli yule jamaa huyo ndo alishusha chart ya maendeleo simba. Linakua kama demu kuchonganisha watu
[emoji23][emoji23][emoji23] anajaribu kukimbia kivuli chake mwenyewe....alishawahi kusemaa SIMBA Ni lidude likubwaaa!! Eti saivi anapinga....aliye mpumzisha usemaji kamsaidia sanaaa kwakweli

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mtu sana wewe
 
Sasa tatizo la mo hapo likwapi mtu anatoa billions msajili viongozi wa team wanazingua wenyewe..
Mnataka mo aje wasajili yy mwenyewe yule ni investor sio director wa team!
Kwahiyo wewe unaamini Mo anatoa tu mabilioni ya pesa bila hata kufatilia? Labda huwajui vizuri wahindi.
Na kama unajua kuwa Mo ni investor sio director, kuna investor gani atakaa mbali na kile alicho ki invest? Investor lazima afatilie kwa asilimia mia kila kitu kwasababu faida na hasara zitamuhusu yeye.
 
Kitu pekee cha kuweza kuinua Simba ni katiba mpya, kwa jinsi ilivyo hata huyo Barbra anayeletwa atafanya kazi kwa maslahi ya Mo. Hivyo inategemea na akili ya Mo je inawaza kupata faida kubwa kupitia timu au kuifanya timu ya Simba iwe kubwa Africa.
Huyo mama aliletwa na Mo Simba, kabla ya hapo alikuwa personal assistant wa Mo na baadae CEO wa Mo Foundation.

Utendaji wake ni mzuri ila unachangiwa na backup kubwa aliyoitoa Mo kipindi yupo ila Try Again amefanya kazi kwa kumbembeleza sana Mo kutoa fungu toka walipojitoa mkataba wa Sportpesa chini ya shinikizo la Mo alipotaka wapewe zaidi kuliko Yanga.
 
Hili bandiko liwekewe lamination.
 
Hayo mafanikio ya Simba wakati huo yalichangiwa sana na ubovu wa Yanga na serikali kuwa sehemu ya Simba mfano PM, alokuwa mkuu wa mkoa n.k toka huu utawala uondoke au uishiwe nguvu ndo Simba imeanza hapo tetereka.

Hizi ni timu za serikali, inategemeana pia ni nani amekalia kiti.
 
Kama ni hivi utopolo lazima walie Jumamosi.
Najua kuna mjinga mmoja atauliza kwani Barbara ndo anacheza?
Jibu ni NDIO.
 
Tunasema kila siku humu, shida ya Simba ni MO, huyu jamaa ameifanya Simba ni kuwa reliable source yake ya Income, mbaya zaidi anapiga saana.

Haya mabadiliko ya sasa ya Simba, yamkini yataiboost kidogo Simba ila bado haitaweza kutawala Soka la Tanzania.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Watu mna data!

Naibeba hii naipeleka kijiweni kwenye kahawa, mashabiki wa makolo watanikoma leo kwa hoja hizi.
 
Kama kumbukumbu zetu zipo sahihi, hapa ndipo shida ya Simba ilipoanzia. Simba ilikataa mkataba wa Sportspesa na wakaingia mkataba wa kipuuzi wa mashaka mashaka na Mbet.

Na hiyo yote ilikuwa janja janja ya Mo, Barbra akiwa ndo mtendaji wa mkataba huu dhalimu.
 
Babra hata akirudishwa leo hii hawezi akawa na msaada kama wakati ule.
Kumbukeni, wakati ule aliweza kufanya yote hayo sababu The Don na yeye were Love birds.
Sasa hivi yeye mwenyewe akipewa hiyo deal ya kurudi Simba atachomoa sababu anajua atafanya kazi katika mazingira ya akina Mangungu na Kajuna tofauti na awali.
 
Huyo Try Again ni mbuzi wa kafara tu. Tatizo halisi la Simba ni Mo Dewji anajenga structure ya timu inayomtegea 100%. Alifanya kosa kubwa sana kuvunja mkataba wa Sportpesa.

Simba & Yanga toka walipoanza kudhaminiwa na Sportpesa kipindi kile sehemu kubwa ya mishahara ya timu ilitoka huko kwa mwaka, wao walikuwa wanatoa zaidi ya $1M kwa mwaka wakati fedha za wadhamini kama Mo & GSM huwa zinaingia kusaidia kufanya usajiri zaidi. Huku day to day operations kama usafiri, chakula, makazi n.k zilitoka kwa haki za kurusha matangazo Azam pamoja wadhamini wengine wadogo wadogo na viingilio vya mechi.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.
 
BARBAR HAWEZI KURUDI SIMBA MZEE ABADANI. LABDA BAADHI YA WATU WATOLEWE NDIPO ARUDI.

Barbar hakufanya kitu chochote simba zaidi ya kuiua hio timu, akishirikiana na mwamedi kuleta magalasa kama.

Chikwende, Dunkan nyoni, Peter Banda, na magarasa mengine kibao.

MNGEKUWA NA AKILI MGEMUIMBA SENZO, ILA NDIO HUYO HATAKI HATA KUISIKIA SIMBA.
 
Hoja YAKo inafikirisha mkuu, kongole kwako!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ni haiwezi kukosekana...na hata Magori yuko poa ila yeye si ndio mshauri wa Mwekezaji?
Bora wampe uenyekiti wa bodi he is respectable na wanasimba wanaweza kurudisha matumaini.

Ila Try again wamefeli sana transfer kwenye madirisha haya mawili.

Wangeweza kusajili wachezaji watano tu wa kigeni wa maana badala ya kuokoteza wahuni.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…