Tetesi: Za ndaani: TFF kutumia staili ya Zamaleki vs Al ahly sakata la Derby

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.

Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki apewe point tatu na Magoli 3, na timu iliyogomea derby ilipaswa kupokonywa point 3 na Magoli matatu, ila Sasa kilichofanyika na bodi Yao ya Ligi ni Zamaleki alipewa point 3 na Magoli matatu, lakini Al ahly hakupokonywa point, na matokeo yake basi Pyramid alikosa Kombe, kwani kama Al Ahly angepokonywa point , Pyramid angeahinda ubingwa.

Hivyo TFF haitafanya vita ya kuipokonya point 15 Yanga, Bali watamzawadia Simba point 3 na Magoli matatu. Hivyo gepu kati ya Simba na Yanga litakuwa point mbili , Simba akiwa juu, na kama wote wakishinda mechi zao basi Simba atakuwa bingwa bila Yanga kupokonywa point.

Hivyo kelele zitakuwa chache. Na pia suala ya Kila timu kupewa point moja , wameshalifuta, na Sasa watasimamia msimamo huo
 
Uto anatafuta sababu ili aende CAF Shirikisho ila wakinusa na kule wanaona ni pa moto siyo kama kipindi kile zilijaa timu zilizochoka. Hana uhakika wa kufika tena fainali.

Anyway, hili sakata la derby ni siasa tu. Wote tumechotwa ila Hersi na genge lake hawana ubavu wa kuwatunishia vifua viongozi wa CCM.
 
Nakuona kijana wa Rage katika moja na mbili.
 
Kimamlaka Hersi hana tofauti na Mwenyekiti wa Baraza la Wazazi la CCM au Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CCM. Unadhani ana uwezo wa kusema hapana kwa uongozi wa CCM?

Ukiona anasema hapana ujue ndiyo maelekezo aliyopewa na uongozi wa CCM taifa na wenyewe wanajua hili sakata linawafaidishaje maana hata Simba yenyewe wameiweka mfukoni pia.
 
Mnatupigia kelele!!
Dabi dabi all over bullshit
Indeed is bullshit noise..watu tunapigania Haki na demokrasia nchini utekaji maisha magumu waanatuletea bullshit derby ukifungua redio mtunanongea Hadi anatoa mimate
 
Yanga hata akipokwa point 15 bado atasalia nafasi ya pili ikiwa atashinda hizo mechi 2 zilizobaki.
 
Bodi ya ligi itajiuzulu kabla ya tar 15, then derby itapigwa
 
Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.

Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki apewe point tatu na Magoli 3, na timu iliyogomea derby ilipaswa kupokonywa point 3 na Magoli matatu, ila Sasa kilichofanyika na bodi Yao ya Ligi ni Zamaleki alipewa point 3 na Magoli matatu, lakini Al ahly hakupokonywa point, na matokeo yake basi Pyramid alikosa Kombe, kwani kama Al Ahly angepokonywa point , Pyramid angeahinda ubingwa.

Hivyo TFF haitafanya vita ya kuipokonya point 15 Yanga, Bali watamzawadia Simba point 3 na Magoli matatu. Hivyo gepu kati ya Simba na Yanga litakuwa point mbili , Simba akiwa juu, na kama wote wakishinda mechi zao basi Simba atakuwa bingwa bila Yanga kupokonywa point.

Hivyo kelele zitakuwa chache. Na pia suala ya Kila timu kupewa point moja , wameshalifuta, na Sasa watasimamia msimamo huo
Kanuni inaagiza nini kifanyike? Hiki ilichokoandika hapo ndiyo kanuni inavyoagiza?
 
Hakuna points za bure uto dabi tunacheza na kuua makolo
 
Hiyo mtajua wenyewe na wazee wenu walioapa kumroga na kumuua kiongozi yeyote wa klabu atakayepeleka timu uwanjani, yaani hata dereva akienda bila kiongozi ataondoshwa duniani.
 
Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.

Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki apewe point tatu na Magoli 3, na timu iliyogomea derby ilipaswa kupokonywa point 3 na Magoli matatu, ila Sasa kilichofanyika na bodi Yao ya Ligi ni Zamaleki alipewa point 3 na Magoli matatu, lakini Al ahly hakupokonywa point, na matokeo yake basi Pyramid alikosa Kombe, kwani kama Al Ahly angepokonywa point , Pyramid angeahinda ubingwa.

Hivyo TFF haitafanya vita ya kuipokonya point 15 Yanga, Bali watamzawadia Simba point 3 na Magoli matatu. Hivyo gepu kati ya Simba na Yanga litakuwa point mbili , Simba akiwa juu, na kama wote wakishinda mechi zao basi Simba atakuwa bingwa bila Yanga kupokonywa point.

Hivyo kelele zitakuwa chache. Na pia suala ya Kila timu kupewa point moja , wameshalifuta, na Sasa watasimamia msimamo huo
We sio utopolo kweli, lazima utakuwa.

Sasa unaposema Ahly hakupokonywa point hizo 3 alizopewa Zamaleki TFF ya Misri walizitoa wapi?😀😀😂

Tuna watu wapuuzi sana katika hii nchi wanaojua wanajua kila kitu.

Ligi inaongozwa na kanuni.
 
Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.

Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki apewe point tatu na Magoli 3, na timu iliyogomea derby ilipaswa kupokonywa point 3 na Magoli matatu, ila Sasa kilichofanyika na bodi Yao ya Ligi ni Zamaleki alipewa point 3 na Magoli matatu, lakini Al ahly hakupokonywa point, na matokeo yake basi Pyramid alikosa Kombe, kwani kama Al Ahly angepokonywa point , Pyramid angeahinda ubingwa.

Hivyo TFF haitafanya vita ya kuipokonya point 15 Yanga, Bali watamzawadia Simba point 3 na Magoli matatu. Hivyo gepu kati ya Simba na Yanga litakuwa point mbili , Simba akiwa juu, na kama wote wakishinda mechi zao basi Simba atakuwa bingwa bila Yanga kupokonywa point.

Hivyo kelele zitakuwa chache. Na pia suala ya Kila timu kupewa point moja , wameshalifuta, na Sasa watasimamia msimamo huo
Thubutu. Unaota wewe
 
Mimi kinachonisikitisha, utapeli umehalalishwa bongo. Kwa mfano, Machi 8 watu wamatapeliwa viingilio. Leo tena Azam wanaendelea na promo kuwa kuna mechi kali Juni 8! Safari hii tutaingia barabarani TFF wakitutapeli viiingilio.
 
Back
Top Bottom