Tetesi: Za ndaani: TFF kutumia staili ya Zamaleki vs Al ahly sakata la Derby

Tetesi: Za ndaani: TFF kutumia staili ya Zamaleki vs Al ahly sakata la Derby

Hiyo mtajua wenyewe na wazee wenu walioapa kumroga na kumuua kiongozi yeyote wa klabu atakayepeleka timu uwanjani, yaani hata dereva akienda bila kiongozi ataondoshwa duniani.
Aisee wazee wa Yanga ni hatari zaidi kuliko danger, si wa kupuuza, wana uchungu na timu kuliko mtu yeyote, kwa heshma na taadhima tunawaomba wazee wa Yanga waruhusu uto tukipige derby tuue makolo na kuchukua kombe letu.

Iko hivi, Simba kamwe hawana uwezo wa kuifunga Yanga bila wazee kuchukia, ushindi wa Simba hupatikana kukiwa na mgogoro jangwani na si vinginevyo.

True story kwa mashabiki mbumbumbu wa Simba wasiojua stori ya Yanga kupigwa Khamsa na Simba, mnamo mwaka 2012 usiku wa kuamkia derby Mzee Akilimali nadhani sina uhakika but alikuwa ni Mzee wa Yanga mwenyekiti, alikuwa kwenye taarifa ya habari ITV nadhani au Channel Ten, aliongea kwa hasira, akavua kofia yake na kubaki kichwa wazi, akaweka hiyo kofia juu ya meza, akasema kwa ghadhabu , tutaona kesho kwenye hiyo derby yenu nani zaidi kati ya uongozi wa timu au wazee wa Yanga, I remember that day as just yesterday, mechi ikapigwa Yanga ilifungwa Goli Tano , kijana wangu wa mwaka mmoja akawa akiruka ruka kila goli la Simba likiingia nikasema hapa mtoto sina, huyu ni kolo tayari na imekuwa hivyo!! This is a true story, naomba wazee wa Yanga ujumbe uwafikie waruhusu uto tukipige derby tu maana Simba hawatuwezi iwapo Singapore Black Stars tu wameshindwa nao ni Yanga B!
 
Kimamlaka Hersi hana tofauti na Mwenyekiti wa Baraza la Wazazi la CCM au Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CCM. Unadhani ana uwezo wa kusema hapana kwa uongozi wa CCM?

Ukiona anasema hapana ujue ndiyo maelekezo aliyopewa na uongozi wa CCM taifa na wenyewe wanajua hili sakata linawafaidishaje maana hata Simba yenyewe wameiweka mfukoni pia.
Hapa umeandika kweli tupu, tff wala bodi ya ligi hawana uwezo wa kuwarudisha yanga uwanjani, wenye uwezo huo ni viongozi wa ccm tu, tena ni mwenyechair, rejea sakata la ugali sukari
 
Mimi kinachonisikitisha, utapeli umehalalishwa bongo. Kwa mfano, Machi 8 watu wamatapeliwa viingilio. Leo tena Azam wanaendelea na promo kuwa kuna mechi kali Juni 8! Safari hii tutaingia barabarani TFF wakitutapeli viiingilio.
Sasa unawalaumu Azam kwa lipi wakati wao wanatimiza wajibu wao wa kimkataba kuipa mechi promo na kujiandaa kurusha matangazo ya moja kwa moja. Ambao wanaenda kukwamisha derby isifanyike wanajulikana unaenda kuwalalamikia Azam na TFF.
 
Hapa umeandika kweli tupu, tff wala bodi ya ligi hawana uwezo wa kuwarudisha yanga uwanjani, wenye uwezo huo ni viongozi wa ccm tu, tena ni mwenyechair, rejea sakata la ugali sukari
Ukiona wamesema hawachezi na kweli wasipocheza ujue hilo jambo lina baraka za ngazi za juu za chama na limefanywa kwa makusudi maalumu.

Nasemaga siku zote, Simba ni mtoto wa kambo wa CCM. Maslahi ya Simba yanaweza yasizingatiwe katika hili na usisikie lolote kutoka kwa uongozi wa klabu maana hata hao viongozi kimsingi wanajionaga wana wajibu mbele ya chama pamoja na kwamba huwa siyo waziwazi kama ilivyo kwa Yanga.

Yanga wanaweza kuikaidi CCM na serikali ila ndiyo toto pendwa la chama.

Kwa sababu ya uchaguzi, ambacho inawezekana kinatengenezwa ni kuwafurahisha wote kwa kutengeneza hizi drama ili wagawane makombe.
 
Kwa nini kuchafua kanuni au Kitanzania tozonia
 
Hakuna point za bure hadi wamkabe Pacome
Pacome blich yuko kwenye form Ile mbaya watamkoma, ila binafsi naona Israel Mwenda ndie atawaua makolo, cha msingi ni kumsumbua Kagoma kwa chenga za maudhi apige buti na kula red card Kisha kumkaba Mpanzu man to man, Simba keshaelekea kibla ni wa kuchinja tu hakuna namna lazima wapigwe!
 
Watacheza
Hizo ni zuga tu
Na watacheza kwa nguvu kubwa ili kuhakikisha wanashinda:
 
point za huo mchezo hazitahesabika yanga atabaki na kumzidi simba point moja maana wote waligomea mchezo kwa nyakati tofauti .
Yanga kugomea mchezo ni kuonyesha nayo ni timu kubwa Kama simba walivyogomea na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom