ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Uto anatafuta sababu ili aende CAF Shirikisho ila wakinusa na kule wanaona ni pa moto siyo kama kipindi kile zilijaa timu zilizochoka. Hana uhakika wa kufika tena fainali.Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.
Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki apewe point tatu na Magoli 3, na timu iliyogomea derby ilipaswa kupokonywa point 3 na Magoli matatu, ila Sasa kilichofanyika na bodi Yao ya Ligi ni Zamaleki alipewa point 3 na Magoli matatu, lakini Al ahly hakupokonywa point, na matokeo yake basi Pyramid alikosa Kombe, kwani kama Al Ahly angepokonywa point , Pyramid angeahinda ubingwa.
Hivyo TFF haitafanya vita ya kuipokonya point 15 Yanga, Bali watamzawadia Simba point 3 na Magoli matatu. Hivyo gepu kati ya Simba na Yanga litakuwa point mbili , Simba akiwa juu, na kama wote wakishinda mechi zao basi Simba atakuwa bingwa bila Yanga kupokonywa point.
Hivyo kelele zitakuwa chache. Na pia suala ya Kila timu kupewa point moja , wameshalifuta, na Sasa watasimamia msimamo huo
Nakuona kijana wa Rage katika moja na mbili.Uto anatafuta sababu ili aende CAF Shirikisho ila wakinusa na kule wanaona ni pa moto siyo kama kipindi kile zilijaa timu zilizochoka. Hana uhakika wa kufika tena fainali.
Anyway, hili sakata la derby ni siasa tu. Wote tumechotwa ila Hersi na genge lake hawana ubavu wa kuwatunishia vifua viongozi wa CCM.
Kimamlaka Hersi hana tofauti na Mwenyekiti wa Baraza la Wazazi la CCM au Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CCM. Unadhani ana uwezo wa kusema hapana kwa uongozi wa CCM?Nakuona kijana wa Rage katika moja na mbili.
Indeed is bullshit noise..watu tunapigania Haki na demokrasia nchini utekaji maisha magumu waanatuletea bullshit derby ukifungua redio mtunanongea Hadi anatoa mimateMnatupigia kelele!!
Dabi dabi all over bullshit
Unapigana na nani? kuna jukwaa la siasa huko hujaliona?Indeed is bullshit noise..watu tunapigania Haki na demokrasia nchini utekaji maisha magumu waanatuletea bullshit derby ukifungua redio mtunanongea Hadi anatoa mimate
Kanuni inaagiza nini kifanyike? Hiki ilichokoandika hapo ndiyo kanuni inavyoagiza?Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.
Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki apewe point tatu na Magoli 3, na timu iliyogomea derby ilipaswa kupokonywa point 3 na Magoli matatu, ila Sasa kilichofanyika na bodi Yao ya Ligi ni Zamaleki alipewa point 3 na Magoli matatu, lakini Al ahly hakupokonywa point, na matokeo yake basi Pyramid alikosa Kombe, kwani kama Al Ahly angepokonywa point , Pyramid angeahinda ubingwa.
Hivyo TFF haitafanya vita ya kuipokonya point 15 Yanga, Bali watamzawadia Simba point 3 na Magoli matatu. Hivyo gepu kati ya Simba na Yanga litakuwa point mbili , Simba akiwa juu, na kama wote wakishinda mechi zao basi Simba atakuwa bingwa bila Yanga kupokonywa point.
Hivyo kelele zitakuwa chache. Na pia suala ya Kila timu kupewa point moja , wameshalifuta, na Sasa watasimamia msimamo huo
Hiyo mtajua wenyewe na wazee wenu walioapa kumroga na kumuua kiongozi yeyote wa klabu atakayepeleka timu uwanjani, yaani hata dereva akienda bila kiongozi ataondoshwa duniani.Hakuna points za bure uto dabi tunacheza na kuua makolo
We sio utopolo kweli, lazima utakuwa.Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.
Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki apewe point tatu na Magoli 3, na timu iliyogomea derby ilipaswa kupokonywa point 3 na Magoli matatu, ila Sasa kilichofanyika na bodi Yao ya Ligi ni Zamaleki alipewa point 3 na Magoli matatu, lakini Al ahly hakupokonywa point, na matokeo yake basi Pyramid alikosa Kombe, kwani kama Al Ahly angepokonywa point , Pyramid angeahinda ubingwa.
Hivyo TFF haitafanya vita ya kuipokonya point 15 Yanga, Bali watamzawadia Simba point 3 na Magoli matatu. Hivyo gepu kati ya Simba na Yanga litakuwa point mbili , Simba akiwa juu, na kama wote wakishinda mechi zao basi Simba atakuwa bingwa bila Yanga kupokonywa point.
Hivyo kelele zitakuwa chache. Na pia suala ya Kila timu kupewa point moja , wameshalifuta, na Sasa watasimamia msimamo huo
Thubutu. Unaota weweNimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.
Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki apewe point tatu na Magoli 3, na timu iliyogomea derby ilipaswa kupokonywa point 3 na Magoli matatu, ila Sasa kilichofanyika na bodi Yao ya Ligi ni Zamaleki alipewa point 3 na Magoli matatu, lakini Al ahly hakupokonywa point, na matokeo yake basi Pyramid alikosa Kombe, kwani kama Al Ahly angepokonywa point , Pyramid angeahinda ubingwa.
Hivyo TFF haitafanya vita ya kuipokonya point 15 Yanga, Bali watamzawadia Simba point 3 na Magoli matatu. Hivyo gepu kati ya Simba na Yanga litakuwa point mbili , Simba akiwa juu, na kama wote wakishinda mechi zao basi Simba atakuwa bingwa bila Yanga kupokonywa point.
Hivyo kelele zitakuwa chache. Na pia suala ya Kila timu kupewa point moja , wameshalifuta, na Sasa watasimamia msimamo huo
Mimi kinachonisikitisha, utapeli umehalalishwa bongo. Kwa mfano, Machi 8 watu wamatapeliwa viingilio. Leo tena Azam wanaendelea na promo kuwa kuna mechi kali Juni 8! Safari hii tutaingia barabarani TFF wakitutapeli viiingilio.Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.