Aisee wazee wa Yanga ni hatari zaidi kuliko danger, si wa kupuuza, wana uchungu na timu kuliko mtu yeyote, kwa heshma na taadhima tunawaomba wazee wa Yanga waruhusu uto tukipige derby tuue makolo na kuchukua kombe letu.Hiyo mtajua wenyewe na wazee wenu walioapa kumroga na kumuua kiongozi yeyote wa klabu atakayepeleka timu uwanjani, yaani hata dereva akienda bila kiongozi ataondoshwa duniani.
Hapa umeandika kweli tupu, tff wala bodi ya ligi hawana uwezo wa kuwarudisha yanga uwanjani, wenye uwezo huo ni viongozi wa ccm tu, tena ni mwenyechair, rejea sakata la ugali sukariKimamlaka Hersi hana tofauti na Mwenyekiti wa Baraza la Wazazi la CCM au Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CCM. Unadhani ana uwezo wa kusema hapana kwa uongozi wa CCM?
Ukiona anasema hapana ujue ndiyo maelekezo aliyopewa na uongozi wa CCM taifa na wenyewe wanajua hili sakata linawafaidishaje maana hata Simba yenyewe wameiweka mfukoni pia.
Sasa unawalaumu Azam kwa lipi wakati wao wanatimiza wajibu wao wa kimkataba kuipa mechi promo na kujiandaa kurusha matangazo ya moja kwa moja. Ambao wanaenda kukwamisha derby isifanyike wanajulikana unaenda kuwalalamikia Azam na TFF.Mimi kinachonisikitisha, utapeli umehalalishwa bongo. Kwa mfano, Machi 8 watu wamatapeliwa viingilio. Leo tena Azam wanaendelea na promo kuwa kuna mechi kali Juni 8! Safari hii tutaingia barabarani TFF wakitutapeli viiingilio.
Ukiona wamesema hawachezi na kweli wasipocheza ujue hilo jambo lina baraka za ngazi za juu za chama na limefanywa kwa makusudi maalumu.Hapa umeandika kweli tupu, tff wala bodi ya ligi hawana uwezo wa kuwarudisha yanga uwanjani, wenye uwezo huo ni viongozi wa ccm tu, tena ni mwenyechair, rejea sakata la ugali sukari
Pacome blich yuko kwenye form Ile mbaya watamkoma, ila binafsi naona Israel Mwenda ndie atawaua makolo, cha msingi ni kumsumbua Kagoma kwa chenga za maudhi apige buti na kula red card Kisha kumkaba Mpanzu man to man, Simba keshaelekea kibla ni wa kuchinja tu hakuna namna lazima wapigwe!Hakuna point za bure hadi wamkabe Pacome
Uliongea vyema ilibaki utaje tareheBodi ya ligi itajiuzulu kabla ya tar 15, then derby itapigwa