Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.
Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.
Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.
Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.
Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.
Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.