Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Tatizo la jamaa toka kanda ya ziwa wanaonesha kuwa na elements za dictatorship kitu ambacho ni kinyume na Katiba .
Hawataki kukosolewa.
Wanasema hawapangiwi.
Hicho ni kiburi .
Na Imeandikwa; Mungu huwapinga wenye kiburi bali huwapa Neema wajishushao wanyenyekevu wa moyo.
Pia Imeandikwa; hekima itokayo juu Yaani kwa Mungu imejaa Rehema , iko tayari kusikiliza mawazo ya wengine, sasa kwanini useme hupangiwi ??
Nchi hii ni yako binafsi ?
Wewe kama kiongozi si umefanya ya kupewa ridhaa ya wananchi kwa muda uwe kiongozi wao ??
Kwanini unataka kuwa Mtawala badala ya kiongozi wa wananchi ??
Pia Imeandikwa; hekima itokayo juu Yaani kwa Mungu haina unafiki wala fitina .
Ni ya upole sio ukali. N.k