Pre GE2025 Za ndani kabisa 2025, Fomu ya urais ndani ya CCM ni zaidi ya moja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.

Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.

Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.

Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.

Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.

Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
Hiyo ya pili itachapishiwa wapi?
 
Ningemshauri tu huyu Mama asichukue hata form maana atachafuliwa sana maana Wahuni walishaanza kumtumia Mange Kimambi kumchafua, sasa kama ndio kuelekea huu uchaguzi mkuu itakuwaje?

Siasa za Kiafrika ni ngumu sana na hii imemponza sana kwenye utawala wake maana alikuwa ana entertain sana mambo yaliyokuwa yanaenda kinyume na zile 4R alizozitangaza.

Mauaji ya kila aina yaliibuka na hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa yakaibuka Machawa from no where yakawa yanalamba ulaji tu huku akiwasahau Wazalishaji na walipa kodi ambao ni wengi kuliko hao Machawa.

Sijui ni mshauri gani aliyemuambia alete yale Mapikipiki ya Kijani ? Yaani akingia kwenye mchuano aisee anaweza kupata hata shambulizi la moyo.

Aangalie ustaarabu mwingine tu unless atadharirishwa sana. Ukipita kwenye page za kidaku amedhalilishwa sana na kama yale maneno ya kwenye page za kidaku ni kweli tutakuja kuyashuhudia kwa macho.
Pumzika tu Mama Samia, Siasa za Kibongo ni za Kinafiki mnooo.
Hilo ni kosa la kiufundi la kuanza kampeni kabla ya muda, pia chanzo cha fedha hizo ni nini. Lazima tukiheshimishe CCM kwa kuwa na Viongozi wasafi na kwa kuwa wanawake wameshapata nafasi, 2025 CCM itakuwa na Mgombea Urais Mwanaume ambaye si mbathirifu na mwenye hofu ya Mungu.
 
Tusifanye masihala mkuu 'Rabbon'. Sijawahi hata siku moja kutaniana na wewe, kwa kuheshimu misimamo yako katika mambo muhimu ndani ya taifa letu hili.
Kamwe sitanii; kwamba aliyo eleza mkuu 'FUSO' hapo juu, ndiyo 'comedy' yenyewe itakayo onyeshwa wakati utakapo wadia. Nami nipo tayari kabisa kusimamia uhakika wa hayo. Ndiyo maana sina shaka yoyote juu yake. Ikitokea vinginevyo, wewe nifahamishe tu; hata kupitia humu humu JF, nitimize ahadi yangu.
Ok usiweke ktk mfumo wa Haram wa betting.

Mimi nitakukumbusha muda ukifika Ili ukaipeleke sadaka hiyo ya 5 ml Kwa watoto yatima au wagonjwa wasio na uwezo wa kupata matibabu.
 
Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.

Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.

Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.

Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.

Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.

Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
huyu bibi anavyotapanya hela na kuidekeza zanzibar siku akiondoka nitakunywa soda kabisa. natamani ccm wamwondoshe kwenye kinyang'anyiro mwakani asiwepo kabisa, awe mpenzi mtazamaji tu.
 
"
EEEeeeeHEEEeeeee!
Umenifanya nicheke sana mkuu G4N!

"Atajivua uenyekiti", amwachie nani?
Hivi hizo "kanuni" huko CCM unadhani zina maana yoyote?
Yeye ni Mwenyekiti; atakuwa mwenyekiti wa ajabu sana kwa yeye "kujivua" na kumwachia mtu ambaye hana uhakika naye kuwa yupo kwenye mstari sahihi.
Tazama vizuri ndani ya hiyo CCM sasa hivi. Tazama wajumbe wa Kamati Kuu ni akina nani; na sijui Halmashauri kuu, n.k.. Mwenyekiti ataachia tu bila kuwapanga watu wake kuhakikisha hakuna litakalo haribika wakati anaachia?
Kikulacho ki nguoni kwako. Ukisikia fitina, basi huku Tanganyika ndiyo chuo cha fitina. Watu wanacheka na mtu mchana lkn usiku wanamuua.
 
Hiyo ndo kanuni, ikiwa Kuna wagombea wengine, mwenyekiti aliepota ndie hua mwenyekiti na kuongoza mchakato huo. Imewekwa hivyo Ili kutenda haki katika ushindani na ndio sababu ukaona CCM waliamua Raia ambae ndo mwenyekit wa Cha akae bila kugombea na wenzie kwa awamu mbili. Kwa muktadha huu, ikiwa fomu itachaowa zaidi ya Moja basi JK ndo atakuwa mwenyekiti wa muda...

Hakuna jambo kama hilo hii sio tetesi umejitungia baada ya kupata picha za hizo pikipiki!
kipara kipya, Samia Suluhu Hassan au Mzanzibari mwingine yeyote hawezi tena kuwa Rais huku Tanganyika.....!!!!

Mwaka 2021 ilikubaliwa kwa shingo upande hivyohivyo awe "Rais wa mpito" baada ya kifo cha Mwendazake Magufuli ingalau kuiheshimu katiba ktk eneo hilo...

Otherwise hatuna Rais mpaka hapa tulipo. She's there just as a "Ceremonial Figure" kwa jina la "Rais"

Kosa lilifanyika. Sasa hatuwezi kuendelea kuwa wajinga tu kwa kuliendeleza...

Na CCM mkifanya kosa tu kulazimisha utumbo huu kuendelea, basi jiandaeni kumnadi huku mkitembelea matumbo kama nyoka na pia jiandaeni kuteka, kutesa na kuua wakosoaji wenu wengi zaidi ya mnavyofanya sasa...!!
 
Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.

Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.

Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.

Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.

Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.

Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
Fomu ni moja tu. No more dramas.
 
Awamu ya saba tena?
 
CCM itadhihirisha rasmi mwakani kwamba imejaa mazombi watupu ikimuachia SAMIA agombee urais,ilhali wanajua hana uwezo kiuongozi.
 
Hiyo ndo kanuni, ikiwa Kuna wagombea wengine, mwenyekiti aliepota ndie hua mwenyekiti na kuongoza mchakato huo. Imewekwa hivyo Ili kutenda haki katika ushindani na ndio sababu ukaona CCM waliamua Raia ambae ndo mwenyekit wa Cha akae bila kugombea na wenzie kwa awamu mbili. Kwa muktadha huu, ikiwa fomu itachaowa zaidi ya Moja basi JK ndo atakuwa mwenyekiti wa muda...
Heshima, mkuu 'Ngaiwaye'.
Haya uliyo weka hapa kinadharia ndiyo sahihi; kivitendo ni tofauti kabisa.
Kwanza kumbuka, ni Kikwete huyo huyo aliye waondoa wazee wasiwe na mchango wowote tena katika maswala kama haya. Alifanya hivyo kwa maksudi kabisa, kuepukana na maamuzi ya wazee hao.
Sasa wewe leo hii, unamtaka Mwenyekiti, tena mwenye maslahi amkubalie tena mzee ambaye atahatarisha nafasi yake? Inaingia akilini hii?
Hivi unaelewa vizuri madaraka makubwa na ushawishi (wa nguvu/lazima/mabavu) alio nao mwenyekiti na Rais wa nchi hii? CCM na wazee wachovu watatoa wapi nguvu za kumkabili mtu wa aina hiyo, tena huku 'chawa' wakiwa wanamdondoka kila sehemu za mwili wake?
Unakumbuka alicho sema Mwenyekiti na Rais wa nchi hii wakati CHADEMA wanapanga maandamano ya "Utekaji" na kuimba wimbo ambao hawakuwa na uhakika nao wa "Samia Must Go"?
Mwenyekiti alicheka, na kuwaambia "Hawezi Kutoka Kizembe zembe namna hiyo"! Na unakumbuka maandamano ya CHADEMA yalivyo kuwa ya kufana sana!

Haya unayo yaeleza wewe hapa, ni sawa na kumwambia Mwenyekiti aachie ngazi Kizembe. Hilo sahau.
Ni wananchi pekee kwa umoja wao, ndio asioweza kuwazuia kumwondoa hapo alipo; atake au asitake.
 
Kikulacho ki nguoni kwako. Ukisikia fitina, basi huku Tanganyika ndiyo chuo cha fitina. Watu wanacheka na mtu mchana lkn usiku wanamuua.
Una maana ya "chawa" ambao ndio wanao mzonga sasa hivi.
Sasa nisome vizuri hapa. Dawa ya chawa walio kengeuka na kuacha kutumika kwa kazi inayo walisha uchafu; mwenye nguo zake ataamua tu kuzipika/chemsha hizo nguo na kuwamaliza chawa wote wabovu na kupanda wengine wapya.
CCM haina upungufu wa chawa wanao hitaji kutumika, huku wakinyonya uchafu.
Hili ndilo linalo wakusanya wote kwa mtu huyo huyo mmoja.
 
Back
Top Bottom