Pre GE2025 Za ndani kabisa 2025, Fomu ya urais ndani ya CCM ni zaidi ya moja

Pre GE2025 Za ndani kabisa 2025, Fomu ya urais ndani ya CCM ni zaidi ya moja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.

Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.

Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.

Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.

Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.

Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
🤣 🤣 🤣
 
Kiuhalisia inatakiwa iwe hivyo maana anamalizia miaka ya mwenda zake, kutoka 2015-2025, sasa baada ya hapo unafanyika mchujo kama ilivyokuwa 2015 mpaka akina mizengo pinda walikuwa kwenye kinyang'anyiro alipokatwa akazimia kwanza
🤣 🤣 🤣
 
Unajuwa mkuu 'Halaiser', hata sisi wengine (wewe na mimi) tulio nje ya haya maswala, wakati mwingine tunajikuta tukichnganya akili kama wao hao hao waliomo ndani.
Ni nani asiye juwa kwamba hizi taratibu (katiba, n.k.,) ni kama mapambo tu inapo fikia wakati wa kupigania maslahi ya makundi.
Chukulia kama hilo la kutambua hii ni "Awamu " ya ngapi? Hili lina nguvu gani ndani ya CCM?

Sote tuna fahamu, mwenye nguvu na uamzi ni Mwenyekiti na timu yake; wakati huo huo akiwa Rais mwenye mamlaka na Dola, aliyo na mamalaka yote ya kuitumia atakavyo yeye kufikia malengo yake.

Sasa niambie, ni nani huko ndani ya CCM anaye weza kujenga kundi la kumtisha mtu mwenye nyenzo zote hizo!
Hawa wote ndani ya CCM ni watu wanao tegemea fadhila toka kwa mtu huyo huyo. Wataanzia wapi kum'challenge' huyu!

Nionavyo mimi. Hayo unayo yaeleza kuwa unayasikia sasa hivi; hayo ni maneno tu yanayo pita huko mitaani. Wakati wenyewe utakapo wadia, kila mtu atalala ndani ya msitari asikose fursa zinazo tegemewa kwa anaye zigawa.

Huko ndani ya CCM sioni hata mmoja wao mwenye uwezo wa kumtikisa mwenyekiti wao.

Kama ni 'challenge' ni kutoka huku nje ya chama.
Mkuu uzoefu ni tofauti ndani ya CCM.

Hasa kwenye mchakato wa uchaguzi kipindi cha uchaguzi Raisi aliyepo huwa hana uthibiti wa hatma ya kitakachojiri.

Fanya rejea vizuri.
 
Fanya rejea vizuri
ccm hata watoe fomu zaidi ya 10. Still watakayemleta hatokuwa na tofauti na waliyopo! Corrupt cartel of con-politicians
🙋‍♂️🎯👍👌👊👏🤝🙏
 
kipara kipya, Samia Suluhu Hassan au Mzanzibari mwingine yeyote hawezi tena kuwa Rais huku Tanganyika.....!!!!

Mwaka 2021 ilikubaliwa kwa shingo upande hivyohivyo awe "Rais wa mpito" baada ya kifo cha Mwendazake Magufuli ingalau kuiheshimu katiba ktk eneo hilo...

Otherwise hatuna Rais mpaka hapa tulipo. She's there just as a "Ceremonial Figure" kwa jina la "Rais"

Kosa lilifanyika. Sasa hatuwezi kuendelea kuwa wajinga tu kwa kuliendeleza...

Na CCM mkifanya kosa tu kulazimisha utumbo huu kuendelea, basi jiandaeni kumnadi huku mkitembelea matumbo kama nyoka na pia jiandaeni kuteka, kutesa na kuua wakosoaji wenu wengi zaidi ya mnavyofanya sasa...!!
🤔🤔💭🌤️
 
Back
Top Bottom