TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
😂😂😂😂😂 siko ccm asilaniAu sio?🤣🤣🤣
Umeandika kwa hisa kubwa sana kutaka kujiaminisha kuwa you are somebody huko CCM.
Basi sawa.
İla ya Mwinyi, mkapa na magufuli ni shule tosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂 siko ccm asilaniAu sio?🤣🤣🤣
Umeandika kwa hisa kubwa sana kutaka kujiaminisha kuwa you are somebody huko CCM.
Basi sawa.
na wakilazimisha kwa huyu, Mungu naye atakataa. Makamu awe standby!Actually hata kama ingekuwa ni full term president na kumaliza kipindi cha kwanza cha miaka 5 lakini anapokuja kugombea kipindi cha pili bado forms zinpaswa kutolewa kwa ambao wako interesting na sio kwa mgombea mmoja ambae ni Rais tu , hiyo haitendi haki.
Ilianzia kwa JPM kama sikosei. Na Mungu akakataa.
Enzi za nyuma zilitolewa forms zaidi ya moja.
Huyo bibi kajiaminisha kwamba nchi hii na yake kwa hali yoyote ndo maana anamwaga tu hela kwa chawa wakeNi kosa kubwa sana kalifanya kugawa pikipiki kabla ya muda wa kampeni zenye mlengo wa kampeni bora zingebaki na logo ya chama tuu!
Manyumbo ni wanaofikiria fomu moja ya Urais. CCM ni Chama kinachofuata Katiba yake kumpata mgombea Urais na kina wanachama wengi wenye sifa ambao wanashindanishwa na kumpata mmoja mwenye sifa zaidi.Hiyo fomu ya pili atato
Hiyo fomu ya pili atatoa mamako. We bwege kafanye mambo yako, CCM is another level si level ya manyumbu
Wale wenye Elements za Ufisadi Ufisadi huwa wanazipenda sana Comments za aina hii 😅😂🙏👍
Atuachie ile katiba mpya ya warioba zawadi yake yeye tu aendelee kukaa mpk 2030 ila si kuwa na dictator ikulu
Kama ni kweli haya yaliyoandikwa basi,CCM haitaki kumsimamisha Samia.Kwani kuna desturi ambazo siyo rasmi kumuachia Rais aliyepo madarakani amalizie kipindi cha pili.Na desturi hiyo Iko hata kwenye nchi zilizoendelea kama Marekani.Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.
Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.
Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.
Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.
Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.
Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.

Kama ni kweli haya yaliyoandikwa basi,CCM haitaki kumsimamisha Samia.Kwani kuna desturi ambazo siyo rasmi kumuachia Rais aliyepo madarakani amalizie kipindi cha pili.Na desturi hiyo Iko hata kwenye nchi zilizoendelea kama Marekani.
Mkuu waache wajilishe matango pori wafurahi leo, CCM tutafurahi baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu chini ya Mama Samia! Kazi Iendelee!!!Hakuna jambo kama hilo hii sio tetesi umejitungia baada ya kupata picha za hizo pikipiki!
Ajabu ni pale chama chenye DEMOKRASIA ccm chawa wake wanapobaliki kuchapishwa kwa fomu moja! Hii itakuwa na tofauti gani na kura ya mtu na kìvuli?????Hakuna jambo kama hilo hii sio tetesi umejitungia baada ya kupata picha za hizo pikipiki!
Dikiteta muadilifu ! Kisha Uchaguzi uwe ni kuanzia Ubunge na kushuka chini na uwe kila baada ya miaka mitano !Kwa hali ilivyo wachambuzi wa mambo wanakwambia ili nchi izidi kukaa Sawa na kurejea kwenye misingi ya uadilifu (rasilimali za umma) inabidi aje kiongozi wa mlengo huo wa dictatorship kwanza anyooshe mambo yakae kwa mstari.
Binafsi sipendi awe dictator kiasi cha kuitia nchi nzima hofu kama wakati ule.
Sipendi hali ya kupotezwa watu (wakosoaji)
Sipendi kusikia Habari za kuuliwa watu.
Napenda kama mtu ako na tuhuma apelekwe mahakamani sheria ichukue mkondo wake.
Napenda rule of law.
Good governance.
Sipendi kiongozi anaeogopwa. Napenda aheshimiwe na heshima ni kwa mkubwa na mdogo.
Binafsi sipendi mtu aniogope. Hata awe mjakazi au Mtumwa nataka tuheshimiane tu na mimi ninawajibu wa kumheshimu hata Mdogo kwangu na sio niogopwe.
Mimi ni mwanadamu nakosea, sina ukamilifu naishi kwa kutegemea rehema na Neema za Mwenyezi Mungu.
Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.
Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.
Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.
Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.
Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.
Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
Hapo ndo atajua hajuiHuwa kikanuni anapaswa kujivua uenyekiti wa chama wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya chama.
Hapo ndipo mzanzibari huyu hatoamini macho yake.
Halafu aingie naniAtoke tu tushamchoka
Dikiteta muadilifu ! Kisha Uchaguzi uwe ni kuanzia Ubunge na kushuka chini na uwe kila baada ya miaka mitano !
Yule atakayekuwepo huko Juu kabisa aendelee kupiga kazi na Uadilifu wake mpaka atakapochoka mwenyewe 😳🙄🙏 !