Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Hakuna kitu kama hicho fomu ni moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmnh!
😀😅
Thubutuuu!
Hiyo haifai.
Umeona anawezakuja kiongozi akaonesha kuchukizwa na ufisadi (wizi wa rasilimali za umma , fedha n.k) lakini ukimfatilia utakuta na yeye anafanya mambo ambayo yanaligharimu Taifa kwa kiasi kikubwa sana ??
Kwa mfano uliona maamuzi alofanya jamaa wakati ule ya kwenda kujenga uwanja wa ndege kule porini kwao ambako hakuna hata kivutio cha utalii na kuweza kunufaisha wengi umeona jinsi ilivyo hasara kwa Taifa ??
Na sababu alisema hakuna wa kumpangia alilolitaka ndilo alolifanya hata kama ni hasara kwa Taifa ??
Na mengineyo.
kama sio Mwenyezi Mungu kuamua kuingilia kati unazani hali mpaka sasa ingekuwaje ??
Pata picha.
Ndio maana nakwambia dictatorship sio nzuri kwa ujumla wake.
Apatikane kiongozi mwenye misimamo mikali kama ya Kamanda Trump.
Trump sio dictator ,
Kule wanamtukana na sababu ya kuelewa maana ya democracy wala hajali yeye anajikita ktk kufanya mambo ya maana yatakayompa legacy ya kihistoria na kutimiza wajibu wale kwa uadilifu
Kwanza wakosoaji mara nyingi huwa ni Innocent people.
Wako mbali na mifumo ya wizi na ufisadi wa rasilimali za umma.
Kwanini kiongozi badała ya kuwa weka karibu badała yake utake kuwasakama ??
Kwanini wapotezwe??
Kwanini wauawe ??
Inatarajiwa kwa kiongozi anaependezwa ma uadilifu awe anapendezwa na Watu wa sina hiyo unless iwe vinginevyo.
Ni vignumu sana wapinzani kupata kiti cha urais. Ingawa ccm ina maovu mengi lakin ninaomba watuletee mgombea mwingine lakini sio samia. Samia ameonyesha udhaifu mkubwa sana kuliko maraisi wote waliopita. Ccm lifanyieni taifa la tanganyika wema kwa kutuletea raisi anaefaa kuliongoza taifa letu. Naunga mkono suala la kutoa fomu zaidi ya moja kwa wagombea wa ccm ili kama samia atapita awe amepita kihalali kupitia mchujo ndani ya chama.
kabisa mkuu lakini pamoja na kuwekwa ameingia mikataba itakayoligarimu taifa pakubwa mnopia ieleweleke kuwa hajawahi kuchaguliwa kuwa Rais, aliwekwa tu mahala kama geresha, mara paaap! kudra!!!!;
Hata wanao hamia kuja kuvuruga unadhani ni sawa, au una maana gani?CHADEMA wana shida sana wale. Wanajiwazaga wao kabla ya wananchi!
Ilipaswa waje na sera kuwafungulie milango wote wasiomkubali bi Chura.
Lakini kwa ninavyo wafahamu wataanza masuala ya kuwaogopa wahamiaji!
Kushinda uchaguzi is all about numbers!
Kuna rfk angu mtendaji kaajiriwa ana mwaka ss, anasema kiukweli tunamwagiwa hela🙄Sasa hivi yupo kwenye jitihada za kuvuna kiinua mgongo ndio maana anatapanya pesa kama ana akili mbovu.
Mikataba kuliko ya Madini na Gesi ??kabisa mkuu lakini pamoja na kuwekwa ameingia mikataba itakayoligarimu taifa pakubwa mno
We zubaa zubaa tu huo ndio ukweliHii ni kwa mjibu wa akili yako inavyo kuelekeza wewe. Usifanye ndio uwe ukweli usio hojiwa!
Na kwa maoni yako, hao wazee uwajuao wewe tayari wanalo jina la Samia mezani, au siyo?
Uongo mtupu. Form ni moja na atakayechukua anajulikana. Samia mi5 tena.Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.
Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.
Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.
Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.
Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.
Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
utaijua tu subiri ashinde uraisK
Mikataba kuliko ya Madini na Gesi ??
Mikataba gani itakayoigharimu Taifa aliyoingia Rais Samia ??
Dipiwedi ?? Au ??
Nani kama mama, wanajisumbua bure!Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.
Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.
Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.
Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.
Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.
Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
✅ ngoja Tusubiri !utaijua tu subiri ashinde urais
Ni kupoteza muda kuendelea nawe. Kiwango kipo chini sana!We zubaa zubaa tu huo ndio ukweli
Wasiogope wahamiaji. Bali waboreshe internal systems za udhibiti.Hata wanao hamia kuja kuvuruga unadhani ni sawa, au una maana gani?
Haaminiki saa nyingine, any time analisha matango pori.britanicca ameipitisha hii?
Kwani walianza lini kuogopa hao wahamiaji. Kumbukumbu zinaonyesha miaka yote wahamiaji wamepitia CHADEMA na kuishia tena CCM. kama akina Shonza na wengi wengine.Wasiogope wahamiaji. Bali waboreshe internal systems za udhibiti.
Je mwenyekiti wa chama umeongea naye yeye anasemaje kuhusu hilo swala?Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.