Za ndani kabisa kuhusu sakata la Fei Toto

Eng hers aelekeze nguvu Sasa Kwenda kugombea ubunge kongwa 2025

Mana anatokea Kata ya chamkoroma
 
Eng hers aelekeze nguvu Sasa Kwenda kugombea ubunge kongwa 2025

Mana anatokea Kata ya chamkoroma
Kumbe jamaa ni mrangi wa kongwa

Huwa nawachukuliaga poa sana warangi na mara zote nawawekaga daraja la chini mno mpaka nilipokutana na huyu jamaa nikalazimika kuwapandisha daraja
 
Riziki ina kuja wakati sahihi...! Ndugu wana achishwa kula ugali na sukari wana enda kufanya kazi kwa SSB

Safi sana
Mshahara kwa hao jamaa kwa afisa mwenye digrii ya jalalani university ni Tshs 100k kwa mwezi. Si bora hao ndugu zake waendelee kuuza urojo tu kule kwao mchambawima.
 
Mshahara kwa hao jamaa kwa afisa mwenye digrii ya jalalani university ni Tshs 100k kwa mwezi. Si bora hao ndugu zake waendelee kuuza urojo tu kule kwao mchambawima.
Kibongobongo huwa hatuushangai sana mshahara

Ila tunaangaliaga majukumu tunayokabiliana nayo km yanavivutio
 
Kwa serikalini sawa, lakini kwa makampuni binafsi ni kaa la moto
Niliwah kuhudumu km mbeba viroba vya unga pale tazara kwa bakhresa posho 6k pa dei

Lkn kwa wiki nilikua naingiza si chini ya 300k nje ya posho ya kiwanda ambayo ni 6k pa dei

Majukumu yangu ni kubeba tu mahesabu watajua wenyew kikubwa ukiambiwa pakia fasta mashine ya kubebesha inaongezwa spid ili tujaze fasta chombo kiondoke jion unapokea posho yako mkonon maisha yanaenda na vitambi tunavyo
 
Eng hers aelekeze nguvu Sasa Kwenda kugombea ubunge kongwa 2025

Mana anatokea Kata ya chamkoroma
Kumbe jamaa ni mrangi wa kongwa

Huwa nawachukuliaga poa sana warangi na mara zote nawawekaga daraja la chini mno mpaka nilipokutana na huyu jamaa nikalazimika kuwapandisha daraja
Kongwa wanatoka Wagogo, kina Ndugai
 
Lengo la uzi wako ni kutuchekesha kutufurahisha au kuvuta muda kijiweni hapo uwahi ukute dada kaivisha ugali kwa shemeji
 
Ramli chonganishi hii mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…