Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
- Thread starter
- #21
Kuamin au kutokuamin hayo ni matatizo yako brokwa namna ulivyo malizia,
Watu wenye maarifa wanajua kabisa kuwa TAARIFA yako ni ya uongo (FEKI !!!)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuamin au kutokuamin hayo ni matatizo yako brokwa namna ulivyo malizia,
Watu wenye maarifa wanajua kabisa kuwa TAARIFA yako ni ya uongo (FEKI !!!)
SahihBongo nyuso sana, anaweza kukuelezea kuliko mwenyewe unavyoweza kujielezea...
SahihKwa aliyopitia dogo atakuwa amejifunza kitu.
Nilichokieleza hapa ni ukwel mtupu WallahMbongo mpe picha tu. Story ataandika mwenyewe
Kumbe jamaa ni mrangi wa kongwaEng hers aelekeze nguvu Sasa Kwenda kugombea ubunge kongwa 2025
Mana anatokea Kata ya chamkoroma
Mshahara kwa hao jamaa kwa afisa mwenye digrii ya jalalani university ni Tshs 100k kwa mwezi. Si bora hao ndugu zake waendelee kuuza urojo tu kule kwao mchambawima.Riziki ina kuja wakati sahihi...! Ndugu wana achishwa kula ugali na sukari wana enda kufanya kazi kwa SSB
Safi sana
Kibongobongo huwa hatuushangai sana mshaharaMshahara kwa hao jamaa kwa afisa mwenye digrii ya jalalani university ni Tshs 100k kwa mwezi. Si bora hao ndugu zake waendelee kuuza urojo tu kule kwao mchambawima.
Sio Pandambili njia panda ya kwenda kwa Simbachawene??Eng hers aelekeze nguvu Sasa Kwenda kugombea ubunge kongwa 2025
Mana anatokea Kata ya chamkoroma
Kwa serikalini sawa, lakini kwa makampuni binafsi ni kaa la motoKibongobongo huwa hatuushangai sana mshahara
Ila tunaangaliaga majukumu tunayokabiliana nayo km yanavivutio
Niliwah kuhudumu km mbeba viroba vya unga pale tazara kwa bakhresa posho 6k pa deiKwa serikalini sawa, lakini kwa makampuni binafsi ni kaa la moto
Eng hers aelekeze nguvu Sasa Kwenda kugombea ubunge kongwa 2025
Mana anatokea Kata ya chamkoroma
Kongwa wanatoka Wagogo, kina NdugaiKumbe jamaa ni mrangi wa kongwa
Huwa nawachukuliaga poa sana warangi na mara zote nawawekaga daraja la chini mno mpaka nilipokutana na huyu jamaa nikalazimika kuwapandisha daraja
SahihKongwa wanatoka Wagogo, kina Ndugai
SidhanItaendelea
Pole sana banduguWenzenu wanasjiri nyie mmekalia umbea baadae mta anza kulalamika bahasha
Umepanik broLengo la uzi wako ni kutuchekesha kutufurahisha au kuvuta muda kijiweni hapo uwahi ukute dada kaivisha ugali kwa shemeji
Ramli chonganishi hii mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Baada ya Bi Mkubwa kutoa tamko kuhusu Mtoto ilibid wananchi wawasiliane fasta na Mtoto wamwambie km vp ktk zile m110 ulizoleta ongeza 40m ili itimie 150m mambo yaishe.
Jibu la dogo akawaambia amechoma pesa mingi kwa mawakil+wapambe pamoja na gharama za kujikim ukizingatia hana mishe amebakiwa na 70m km wanataka wachukue la wakomae aende cas.
Jamaa wakamaind wakamwambia acha kudekadeka dogo au kwa vile umemsikia bi Mkubwa kaongea vile ndio unakaza?
Mawasiliano yakakata.
Taarifa zikamfikia boss kubwa Ghaarib na km unavyojua wafanyabiashara ni watu wa kusaka fursa kwa hiyo boss kubwa ameona aonyeshe utii kwa bi Mkubwa kwa sabab huko ndiko kulikojaa fursa.
Dogo akaambiwa atoe alichokua nacho ili kuvunja mkataba na haruusiw kuliongelea hili popote pale ili kulinda hadhi ya taasis kubwa isijeonekana imeufyata na akaanze maisha mapya.
Dogo akatoa simu ili kuwasiliana na sponsa atume mpunga kwa jamaa na kusain nyaraka zilizoandikwa kwa kiswahili ili kusiwe na malalamiko kwamba hajaelewa lugha.
Mtoto anakula 22m kwa mwez gari+nyumba kali na usafir wa kwenda unguja kila siku ticket ya kwenda na kurudi.
kaambiwa aorodheshe majina ya ndugu zake 50 wa kiwango cha elimu chochote hata km elimu ya mtaa hadi uprofesa watapewa ajira ktk makampun ya SSB
Kwa ofa hii angeanzaje kukataa kujilipua