Za ndani kabisa kuhusu sakata la Fei Toto

Za ndani kabisa kuhusu sakata la Fei Toto

Eng hers aelekeze nguvu Sasa Kwenda kugombea ubunge kongwa 2025

Mana anatokea Kata ya chamkoroma
 
Eng hers aelekeze nguvu Sasa Kwenda kugombea ubunge kongwa 2025

Mana anatokea Kata ya chamkoroma
Kumbe jamaa ni mrangi wa kongwa


Huwa nawachukuliaga poa sana warangi na mara zote nawawekaga daraja la chini mno mpaka nilipokutana na huyu jamaa nikalazimika kuwapandisha daraja
 
Riziki ina kuja wakati sahihi...! Ndugu wana achishwa kula ugali na sukari wana enda kufanya kazi kwa SSB

Safi sana
Mshahara kwa hao jamaa kwa afisa mwenye digrii ya jalalani university ni Tshs 100k kwa mwezi. Si bora hao ndugu zake waendelee kuuza urojo tu kule kwao mchambawima.
 
Mshahara kwa hao jamaa kwa afisa mwenye digrii ya jalalani university ni Tshs 100k kwa mwezi. Si bora hao ndugu zake waendelee kuuza urojo tu kule kwao mchambawima.
Kibongobongo huwa hatuushangai sana mshahara

Ila tunaangaliaga majukumu tunayokabiliana nayo km yanavivutio
 
Kwa serikalini sawa, lakini kwa makampuni binafsi ni kaa la moto
Niliwah kuhudumu km mbeba viroba vya unga pale tazara kwa bakhresa posho 6k pa dei


Lkn kwa wiki nilikua naingiza si chini ya 300k nje ya posho ya kiwanda ambayo ni 6k pa dei


Majukumu yangu ni kubeba tu mahesabu watajua wenyew kikubwa ukiambiwa pakia fasta mashine ya kubebesha inaongezwa spid ili tujaze fasta chombo kiondoke jion unapokea posho yako mkonon maisha yanaenda na vitambi tunavyo
 
Eng hers aelekeze nguvu Sasa Kwenda kugombea ubunge kongwa 2025

Mana anatokea Kata ya chamkoroma
Kumbe jamaa ni mrangi wa kongwa


Huwa nawachukuliaga poa sana warangi na mara zote nawawekaga daraja la chini mno mpaka nilipokutana na huyu jamaa nikalazimika kuwapandisha daraja
Kongwa wanatoka Wagogo, kina Ndugai
 
Lengo la uzi wako ni kutuchekesha kutufurahisha au kuvuta muda kijiweni hapo uwahi ukute dada kaivisha ugali kwa shemeji
 
Baada ya Bi Mkubwa kutoa tamko kuhusu Mtoto ilibid wananchi wawasiliane fasta na Mtoto wamwambie km vp ktk zile m110 ulizoleta ongeza 40m ili itimie 150m mambo yaishe.

Jibu la dogo akawaambia amechoma pesa mingi kwa mawakil+wapambe pamoja na gharama za kujikim ukizingatia hana mishe amebakiwa na 70m km wanataka wachukue la wakomae aende cas.

Jamaa wakamaind wakamwambia acha kudekadeka dogo au kwa vile umemsikia bi Mkubwa kaongea vile ndio unakaza?

Mawasiliano yakakata.

Taarifa zikamfikia boss kubwa Ghaarib na km unavyojua wafanyabiashara ni watu wa kusaka fursa kwa hiyo boss kubwa ameona aonyeshe utii kwa bi Mkubwa kwa sabab huko ndiko kulikojaa fursa.

Dogo akaambiwa atoe alichokua nacho ili kuvunja mkataba na haruusiw kuliongelea hili popote pale ili kulinda hadhi ya taasis kubwa isijeonekana imeufyata na akaanze maisha mapya.

Dogo akatoa simu ili kuwasiliana na sponsa atume mpunga kwa jamaa na kusain nyaraka zilizoandikwa kwa kiswahili ili kusiwe na malalamiko kwamba hajaelewa lugha.

Mtoto anakula 22m kwa mwez gari+nyumba kali na usafir wa kwenda unguja kila siku ticket ya kwenda na kurudi.

kaambiwa aorodheshe majina ya ndugu zake 50 wa kiwango cha elimu chochote hata km elimu ya mtaa hadi uprofesa watapewa ajira ktk makampun ya SSB

Kwa ofa hii angeanzaje kukataa kujilipua
Ramli chonganishi hii mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom