Tetesi: Za ndani kabisa. Kuna chama kipya cha siasa kitasajiliwa hivi karibuni. Nyaraka muhimu zinafanyiwa kazi ofisi ya msajili

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lakini kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa Madiwani, Wabunge na Rais.

Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lkn kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa madiwani, wabunge na rais.

Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa.

Mungu ibariki Tanzania.
CCK square πŸ’
 
Mbinu za CCM kudhoofisha vyama vya upinzani.
 
Anamkimbia mmiliki wa chama kile ili nae awe mmiliki wa chama hicho kipya πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Iwepo sheria kwa vyama vya upinzani vyote kama havijawahi kuwa na mbunge hata mmoja kwa miaka 10 kifutwe. Hii itasaidia kuokoa hela ya ruzuku na vyama kutumika kwa vyama vikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…