Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]

Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa

Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
 
Aiseee 🤦🏾‍♂️
Kazi kweli kweli
 
That’s how it is supposed to be especially taking into consideration where he came from. Pamoja na mawenge yake ya kuzaa huku na kule bila kuoa wakati yeye anaruhuswa kuoa hadi wanne. I admire his confidence and efforts to attract more fans all over the World.

Ngoja aje yule jamaa aponde!
Binafs mtu akifanya kitu unique nna appreciate hasa kijana
 
Ha ha mtu ananunua magari used from bongo ndio anunue ndege?
 
Back
Top Bottom