Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Ha ha mtu ananunua magari used from bongo ndio anunue ndege?
Akili za Mange na H baba, kuna uwezekano hata akinunua nyumba mtasema used.

Na sasa hivi Mange ana app, 80% ya ya contents ya app yake itakuwa maisha ya Diamond na familia yake na WCB nzima, yaani kwa kifupi hiyo app ya Mange ni sawa na kusema ya WCB.Ila kumchukia mtu husiye mjua kipaji na Mange kipaji hiko anacho na bahati mbaya anawaambukiza wengine.

Wengine anaogopa kuwasema sababu marafiki zake.
 
Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamondplatnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamondplatnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa


Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Yaani una akili finyu sana kijana, sawa Diamond atanunua hiyo ndege for himself na familia yake, wewe unafaidika na nini?
 
Nitarudi hapa baada ya miezi mitatu kukuuliza ndege imepaki wapi tukaione, scumbag as usual, msanii mkubwa kapanga mbezi beach kwenye nyumba ya joniii
Kwani kupanga ndio kutokuwa na uwezo wa kumiliki nyumba? Sababu hata akinunua nyumba mtasema si yako,mtasema "tunataka hati",ila wasanii wengine wakionyesha nyumba zao hamdai hati.

Mtu awe na nyumba South na juzi alipost nyumba kubwa tu ya kisasa Sinza na 45% ya hisa za Wasafi media ashindwe kujenga nyumba? Ila si shangai akili za Mange.

Kuhusu ndege hata mimi nasubiria ndio maana sikuongea chochote nimebaki kuwa Thomaso.
 
Na wewe utanunua lini baiskeli ?

Au wewe uchawa unakutosha kabusa.
 
Unadhani ndege ni Kama matako vile,kila mtu anayo.

Endelea kuwa na akili hizo hizo finyu utashtuka umepaki mwenyewe huna hata baiskel fala wewe wivu unakusumbua
Mwanaume kuwa na wivu huo ni Uchawi
 


Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana

By Mzilankende
 
Back
Top Bottom