Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Week ijayo?? Tunaisubiri
Tuondoleeni uzezeta wenuWeek ijayo star wa Bongo Flavor Diamondplatnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamondplatnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa
Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Shobo kwa mwanaume mwenzio, utajutaWeek ijayo star wa Bongo Flavor Diamondplatnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamondplatnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa
Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Aitoe ya nini sasa? Mwezi mzima mtu yukk mbele unataka ukaiendeshe weweIle gari mnaiona mtaani huko??
Ngoja aje yule jamaa aponde!
Binafs mtu akifanya kitu unique nna appreciate hasa kijana
Ee.Ha ha mtu ananunua magari used from bongo ndio anunue ndege?