Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

Kama Ole Sabaya amethibitika Mahakamani kuwa hana hatia au anayo na kutumikia adhabu na kuwa huru kwanini mama achochewe kumkataa?

Lengo la kifungo (kama alifungwa) ni kumrekebisha mkosaji, kumfanya ajutie makosa yake ili arudi uraiani akiwa mfano bora.

Ukimnyima teuzi (wakati ana vigezo) basi pia ukatae kura yake 1. Hiyo itakuwa ni ukiukaji wa Haki za Binadamu na Utawala Bora hauko hivyo.

Hiyo ndiyo siasa kinyume chake siyo siasa.
 
Ally Hapi ndio mkuu wa mkoa ajaye...
Chala boy leo usiku kinaota nyasi...CDF kamaindi kinoma
 
Once a hater always a hater,,

Sabaya ameshajifunza wacha maisha yaendelee.

Punguza chuki kwa binadamu mwenzio.
 
Once a hater always a hater,,

Sabaya ameshajifunza wacha maisha yaendelee.

Punguza chuki kwa binadamu mwenzio.
Nipunguzeje chuki wakati nampongeza kwa kuteuliwa kuwa RC?
 
Yeyote aje ni sawa tu !
Hata asipokuja yeye atakuja mwingine lakini ndio hao hao kutoka chungu kilekile !!
Ndege wafananao !!
 
Kuna mambo mengine inabidi mboga mboga wajitafakari Sana, kwa hiyo majambazi wanarudi ofisini rasmi [emoji848][emoji848] watu walio mdhihaki hadharani watakoma kuringa [emoji23][emoji23]

Hiki chama ni vile wananchi wenyewe waoga. Nchi za wenzetu once ukichafuka hata wakusafishe vipi hurudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…