A Peculiar people
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 612
- 773
WonderfulMindset yako inanisikitisha sana 😭😭.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WonderfulMindset yako inanisikitisha sana 😭😭.
Huyo hiyo mali hajatafuta yeye, kaikuta tu! Walioitafuta hiyo ndio walipata shida kwa kupitia changamoto kama unazopitia wewe! Pengine ni babu wa babu yake! Hivyo na wewe fanyakazi kwa bidii ili kizazi chako kije kufurahia matunda yako!Sasa lini? Mbona miaka inakatika sioni maajabu?
unautumiaje muda wako wa kila siku?Jamani watu wamezaliwa mambo safi wakalelewa mambo safi wakakulia mambo safi hadi wanakufa au mpaka wanakufa mambo_safi Donald Trump & Stephen Wasira.
Sasa mimi nakwama wapi?
👏 👏 👏Huyo hiyo mali hajatafuta yeye, kaikuta tu! Walioitafuta hiyo ndio walipata shida kwa kupitia changamoto kama unazopitia wewe! Pengine ni babu wa babu yake! Hivyo na wewe fanyakazi kwa bidii ili kizazi chako kije kufurahia matunda yako!
E mkuu umepiga pakubwa😀Acha uvivu, Fanya kazi, Tumia pesa kwa nidhamu, Jifunze kuwekeza mkuu!!
Mafanikio ni kuunganisha Codes tu, hayahitaji power from Source fulani.
Acha kujifunika na kujitetea kwa poroja za dini, Huyo Mungu angekua ana nia ya kuwainua wote muwe Matajiri asingeuumba Umasikini.
Kwanini kaumba umasikini wakati anataka wote muwe matajiri?
Mkuu uko na mambo heavy kabisa 🤣Kwanza Mimi siyo aina ya mtu wa kutishika kuadhibiwa na kitu kisichothibitishika uwepo wake kwa kuzungumza ukweli kukihusu.
Eti kwamba nitapata matatizo kama nikimu-ignore huyo Yesu ambaye Infact ni Muongo.
Kama huyo yesu ataniadhibu sababu nina msema kwenye ukweli, Je yeye adhabu yake ya uongo ataadhibiwa na nani?
Maana alikufa Ijumaa saa9, Wakajihimu Jumapili saa11 alfajiri yeye ameshafufuka - Hayupo.
Mimi siropoki ropoki just noncence BLAH! BLAH!, Mathayo 12:40 inasema:
"Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ndani ya tumbo la nyangumi muda wa siku tatu, mchana na usiku, vivyo hivyo Mwana wa Adamu atakuwa ndani ya tumbo la dunia siku tatu, mchana na usiku."
Kwa akili ya kawaida kutoka Ijumaa Saa9 jioni hadi jumapili saa11 asubuhi hizo ni siku3 mchana na usiku kama alivyodai?
Hayo siyo masaa 38 au 39 hivi?
Je siku tatu mchana na usiku ni masaa 37, 38 au 39?
Je, Yesu siyo Muongo?
Kama ni muongo ataadhibiwa na nani?
Tuache hilo sababu sio point tunayoijadili.
Swali kwako: Kama unaamini Mungu ndiye muumbaji lakini unakataa dai kwamba hajauumba umasikini duniani bali kaumba utajiri pekee, Je umasikini umetokea wapi?
Nani kauumba umasikini?
Nafanyakazi halali biashara nina kipato cha basic and some savingsunautumiaje muda wako wa kila siku?
Andika kwenye notebook.. pray every day kwa kuyasoma. Every dayYote