KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mtaalam katembelea hospitali zote ila Mbunge katembelea hospitali moja lkn wewe unamuamini Mbunge kuliko Mtaalamu maana unachopenda kukisikia kikufurahishe ni hicho cha MbungeMbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.
"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.
Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.
"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.
Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.
-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.
Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
Mtaalam alikwenda kuwazika wapiga kura wa mbunge?Mtaalam katembelea hospitali zote ila Mbunge katembelea hospitali moja lkn wewe unamuamini Mbunge kuliko Mtaalamu maana unachopenda kukisikia kikufurahishe ni hicho cha Mbunge
Hata Naye ni kati ya waoga,watu wanafariki kwa matatizo ya kushindwa kupumua kwa Tanzania pekee Bali kwingineko duniani wanatoa Diagnosis ya COVID 19 ambapo hata vyombo vyetu vya habari vinawatangaza hadi majina wanaofariki.Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.
"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.
Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.
"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.
Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.
-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.
Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
Hawana ubavu wa kuhoji suala la mandatory self quarantine.Halafu akitoka kuzika wapiga kura wake anarudi bungeni anajiunga na wenzie bungeni bila kuvaa barakoa
Kusema kitu ambacho kiko wazi ni ujasiri? Mbona tunashusha viwango wa mtu kuitwa jasiri namna hii? Tanzania watu wanatetekea kwa corona. Mtu akisema watu wanakufa kwa corona (jambo ambalo ni kweli ) ni ujasiri? Tena basi ameogopa hata kuutaja ugonjwa! Tuache woga ndugu zangu.Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.
"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.
Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.
"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.
Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.
-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.
Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.
"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.
Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.
"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.
Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.
-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.
Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
Kajitoa SADAKA NA NAMPONGEZA LAKINI PIA NAMWONEA HURAMA MAANA ATAITWA NA CHAMAMbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.
"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.
Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.
"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.
Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.
-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.
Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
Tutatafuta namna ya kusawazisha mambo kama tulivyomfanyia msukuma kwa kwenda kuzindua soko huko morogoro wakati juzi alisema miradi mingine haina tija"mwambieni huyo mbunge asijisahau....asinichokoze.....mkumbusheni kuhusu namna ubunge wake ulivyopatikana"
Mwanzoni mwajanuary Mheshimiwa Mbowe alitoa angalizo kwa rais kuhusu hili jinamizi la covi19, lakini aliambulia matusi yote toka vijana wa mataga na uvccm... tatizo wanazipata wakiwa wamechelewa sana! Tungezingatia taratibu sahihi kwa wakati za kupambana na hili janga tungeokoa roho ngapi? Hadi majenerali, maprofesa na viongozi wa dini waanze kuteketea ndio wanashtuka? Sisi makapuku hakuna mwenye habari na sisi! Ajabu sana!
Now you can see how naive and stupid most people are. Na watu watakwisha kwelikweli maana kama tunasubiri matamko, tutasubiri sanaHalafu akitoka kuzika wapiga kura wake anarudi bungeni anajiunga na wenzie bungeni bila kuvaa barakoa. Kazi ipo