Zacharia Isaay (Mbunge Mbulu): Serikali iache kigugumizi ieleze wazi kuhusu ugonjwa wa kupumua unaomaliza watu wa Mbulu

Mbunge huyo badala ya kufukuzwa anaweza kutumika kumsafisha dikteta; na kuwa njia ya kutoka na kumtafuta wa kumlaumu

Atatangazwa kuwa ni shujaa, na hapo hapo dikteta kuanza kujipamba jinsi anavyowapigania wanyonge wake wasiangamizwe na korona.

Atatafutwa Bangusilo mmoja wa kafara na nyimbo za kumsifu dikteta zitaimbwa kila sehemu kuwa shujaa wa taifa lake.

Hiyo ndiyo kawaida ya madikiteta duniani kote.
 
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.

Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.

"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.

Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.

"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.

Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.

-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.

Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
Mtaalam katembelea hospitali zote ila Mbunge katembelea hospitali moja lkn wewe unamuamini Mbunge kuliko Mtaalamu maana unachopenda kukisikia kikufurahishe ni hicho cha Mbunge
 
Mkuu mbunge,

There's nothing you can do,

Rather wasting time ku argue na serikali ambayo imeamua kukaa irresponsible..

Effort/nguvu zako zielekeze kwa wananchi wa jimbo lako..

Piga kelele wananchi wako wafate guidelines;kuosha mikono, kuepuka misongamano etc

Cha pili piga kelele watu wale vyakula na dawa zinazo boost immunity
 
Halafu akitoka kuzika wapiga kura wake anarudi bungeni anajiunga na wenzie bungeni bila kuvaa barakoa
 
Mtaalam katembelea hospitali zote ila Mbunge katembelea hospitali moja lkn wewe unamuamini Mbunge kuliko Mtaalamu maana unachopenda kukisikia kikufurahishe ni hicho cha Mbunge
Mtaalam alikwenda kuwazika wapiga kura wa mbunge?

Mtaalam yupi unayemzungumzia, yule waziri wa Afya au Katibu mkuu wake?

Hivi nyinyi watu, humo vichwani mwenu mmejazwa matope?

Hata kufikiri tu kama binaadam wa kawaida hamuwezi?
 
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.

Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.

"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.

Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.

"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.

Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.

-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.

Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
Hata Naye ni kati ya waoga,watu wanafariki kwa matatizo ya kushindwa kupumua kwa Tanzania pekee Bali kwingineko duniani wanatoa Diagnosis ya COVID 19 ambapo hata vyombo vyetu vya habari vinawatangaza hadi majina wanaofariki.
Tujiulize wanaojifukiza na kunywa dawa za miti shamba tunaambiwa zinawasaidia,ni ugonjwa gani wanaotibu?Hatuambiwi ukweli!Kuna nini kinafichwa hadi ventilators haziwatoshi?
 
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.

Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.

"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.

Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.

"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.

Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.

-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.

Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
Kusema kitu ambacho kiko wazi ni ujasiri? Mbona tunashusha viwango wa mtu kuitwa jasiri namna hii? Tanzania watu wanatetekea kwa corona. Mtu akisema watu wanakufa kwa corona (jambo ambalo ni kweli ) ni ujasiri? Tena basi ameogopa hata kuutaja ugonjwa! Tuache woga ndugu zangu.
 
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.

Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.

"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.

Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.

"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.

Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.

-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.

Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.

Mkuu kwa hali iliyopo hakuna haja ya kukaa kimya MDUDU hana macho anapiga yeyeote ,kila mtu yupo kwenye risk ya kupata FUTA.

Nampongeza pia kwa ujasili wake wa kutoa makavu live.
 
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.

Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.

"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.

Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.

"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.

Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.

-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.

Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
Kajitoa SADAKA NA NAMPONGEZA LAKINI PIA NAMWONEA HURAMA MAANA ATAITWA NA CHAMA
 
"mwambieni huyo mbunge asijisahau....asinichokoze.....mkumbusheni kuhusu namna ubunge wake ulivyopatikana"
Tutatafuta namna ya kusawazisha mambo kama tulivyomfanyia msukuma kwa kwenda kuzindua soko huko morogoro wakati juzi alisema miradi mingine haina tija
 
... tatizo wanazipata wakiwa wamechelewa sana! Tungezingatia taratibu sahihi kwa wakati za kupambana na hili janga tungeokoa roho ngapi? Hadi majenerali, maprofesa na viongozi wa dini waanze kuteketea ndio wanashtuka? Sisi makapuku hakuna mwenye habari na sisi! Ajabu sana!
Mwanzoni mwajanuary Mheshimiwa Mbowe alitoa angalizo kwa rais kuhusu hili jinamizi la covi19, lakini aliambulia matusi yote toka vijana wa mataga na uvccm
 
Halafu akitoka kuzika wapiga kura wake anarudi bungeni anajiunga na wenzie bungeni bila kuvaa barakoa. Kazi ipo
Now you can see how naive and stupid most people are. Na watu watakwisha kwelikweli maana kama tunasubiri matamko, tutasubiri sana

Tamko la Chief Medical officer ni kwamba mnapaswa kuanza desturi ya kunawa mikono na kufanya usafi kwa ujumla ili msipate kipindupindu na Typhoid🙂
 
Back
Top Bottom