Sasa mtu kama Mollel ni mng'oa meno atajuaje watu wanao ugua corona? Labda jino lilio toboka..kwani huyu mbunge ni mtaalamu wa afya? Tunao wataalamu kwenye wizara husika, tuna Dr. Gwajima, Dr. Mollel nk. Hao kama kiutaalamu hawajaona tatizo basi asiye mtaalamu atalionaje? Vinginevyo tukubaliane na wabunge waliosema wasomi (kwa vyeti) 'wanaliagusha' taifa, na labda basi na hao wa wizara hii wamo.
Na kama yule aliyeshindwa kuapa tulidoubt elimu yake, je hao wa afya tunawaamini vipi?
MorogoroHivi Jiwe yuko wapi
Nashangaa hata sikuona red zigzag lineit is “prophet”
Huyo Mbunge ni jasiri, acha ubishi budaAwe ametaja neno corona au hajataja, hoja yangu ni kuwa watu wamekuwa na woga wa kijinga mpaka kufikia hatua ya kuogopa kutaja mambo yaliyopo. Kwangu mimi huyo siyo jasiri bali ametimiza wajibu wake. Hata kama wengine wameogopa lakini hakumfanyi awe jasiri.
Una haki kabisa kutetea unayemtetea. Alikunusuru na tetemeko lililojinyofolea roho kumi na saba za watu. Ni wajibu wako mtoto wa kijiji cha Katerero kwenye mto Ngono kuteta na anayeteta na mkombozi wako!Wewe ndiye mpumbavu kabisa.
Of course kundi la watu waoga nalo lina jasiri wake! Watu waoga walikuwa ndani usiku wamelala, paka akapita na kugusa mlango, wote wakaingia uvunguni mwa kitanda kujificha, kasoro mmoja aliyebaki kitandani kupiga kelele kwa woga. Asubuhi yake ilipogundulika ni paka wakawa wanamsifu yule aliyepiga makelele ya woga kuwa ni jasiri.Huyo Mbunge ni jasiri, acha ubishi buda