LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
- Thread starter
- #141
Sasa mtu kama Mollel ni mng'oa meno atajuaje watu wanao ugua corona? Labda jino lilio toboka..kwani huyu mbunge ni mtaalamu wa afya? Tunao wataalamu kwenye wizara husika, tuna Dr. Gwajima, Dr. Mollel nk. Hao kama kiutaalamu hawajaona tatizo basi asiye mtaalamu atalionaje? Vinginevyo tukubaliane na wabunge waliosema wasomi (kwa vyeti) 'wanaliagusha' taifa, na labda basi na hao wa wizara hii wamo.
Na kama yule aliyeshindwa kuapa tulidoubt elimu yake, je hao wa afya tunawaamini vipi?