A
Anonymous
Guest
Kwa wiki anaweza kuna mara moja au hasije kabisa hali hii ibasababisha wananchi wasipate huduma stahiki.
Kwa utaratibu anatakiwa kuwa anafika mara tano, Jumatatu hadi Ijumaa, wananchi wanalalamika, Viongozi wa wilaya ni kama wamemshindwa.
Pia soma ~ Urambo DC: Mganga Mfawidhi kutokuwepo kazini, hali hiyo hutokea kwa nadra