Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hivi wale waamuzi waliochezesha mechi ya Simba na Alliance ni bahati mbaya au ndio janja janja za Simba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna bahati mbaya kwenye mpira wa bongoHivi wale waamuzi waliochezesha mechi ya Simba na Alliance ni bahati mbaya au ndio janja janja za Simba?
Kweli wewe kasimbaGoli alofunga ngasa alikuwa ofside na goli la azam lilikuwa halali
Ila leo huwezi sikia hii kitu
Kweli wewe kasimba
Ulishawahi cheza mpira?Kasimba ni simba mdogo
Mkuu hukuona ofside ile kabisa
Ingekuwa simba ndo kacheza midomo ungewasikia ila leo huwezi msikia zahera
Ulishawahi cheza mpira?
Una taaluma ya urefa?
Kwa hiyo alitimuliwa kwa tatizo hilo? Maana Hakuna kocha atakayesema katimuliwa kwa 7bu walizotoa viongozi! Kwani hata simba naamini walitoa 7bu tofauti na alizosema Siang'a! Lkn yote kwa yote kama ilikuwa kweli alipaswa aende kwenye mamlaka husika akatoe taarifa! Eidha polisi, chama cha soka, caf au fifa! Hapo ndio ingekuwa dawa kama ingethibitishwa