Zahera aitwa TAKUKURU

Hivi wale waamuzi waliochezesha mechi ya Simba na Alliance ni bahati mbaya au ndio janja janja za Simba?
 
Goli alofunga ngasa alikuwa ofside na goli la azam lilikuwa halali
Ila leo huwezi sikia hii kitu
 
Si uzalendo kubisha kuhusu rushwa kwenye soka la Tanzania. Kuanzia Waamuzi, Wachezaji, Viongozi wa Vilabu, Viongozi wa Vyama vya soka, Kamati za ligi, Wadau na wakati mwingine hata mashabiki tu wa soka,, wanajihusisha na rushwa kutengeneza kipato/matokeo.
 

Wakati huo uende TAKUKURU kina-mo ndo walikuwa na hati miliki ya nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…