Zahera amvua unahodha Yondan amkabidhi Ajib

Zahera amvua unahodha Yondan amkabidhi Ajib

SIMBA MWAFA!!!! NA HAYA MAJAMAA YANATUMIA JEZI YA YANGA TAREHE 11 TAIFA PATACHIMBIKA HAYA MAJAMAA SOKA LAO SII LA DUNIA HII

Jezi nzuri sana hizi. Sioni tabu kuhama hama WAJE TU nitakuwa mshabiki wao kama nilivyokuwa kwa Nkana japo mashabiki tulihesabika ila ujio wetu pale Uwanjani waliuona. 😜😜
 
Mie pia nayaona haya ishu kabisa Swahiba zaidi ya kuwachosha wachezaji.

Naona Nguvu moja mmepeleka Full Mkoko kugombea M10. [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787]app unaponiunganisha na Mimi ndo unaharibu Swaiba
Yaani sijaelewa kwanini wamepeleka full mkoko inaweza kuwagharimu siungi mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha wa Yanga, Mkongo Mwinyi Zahera amemvua unahodha beki wa kati, Kelvin Yondani 'Vidic' kutokana na utovu wa nidhamu.
Yondani ambaye mwanzoni mwa msimu huu alitangazwa rasmi kuwa nahodha wa Yanga akibeba mikoba iliyoachwa na Nadir Haroub 'Cannavaro' ambaye pia alikuwa anacheza nafasi ya beki wa kati, amevuliwa wadhifa huo kutokana na kuchelewa mazoezini pamoja na ukimya.
"Niliwapa wachezaji siku tano za mapumziko ili siku ya sita waje mazoezini yeye hakutokea, amezima simu na amegoma.
Siwezi kumwacha mtu kama yule anayepaswa kuonyesha mfano kwa wengine afanye hayo hivyo nimeamua nimvue unahodha na kuanzia sasa nahodha ni Ibrahim Ajibu,"alisema Zahera ambaye ni kocha mwenye msimamo na anachokizungumza.
Ikumbukwe pia, Zahera alifanya maamuzi ya kumkataa kikosini mwake mlinda mlango, Beno Kakolanya kwa matatizo kama hayo na mpaka sasa hajajiunga na timu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni Maamuzi mazuri ili sasa Kelvin Patrick Yondani aweze Kuzivuta vizuri Bange / Bangi ( Sigara Bwege / Jani / Puje / Mtemba ) zake kwa Uhuru na Kujinafasi zaidi tofauti na hapo awali alipokuwa na Kitambaa hicho cha Unahodha.
 
Huwa nawashangaa sana watu wanaotetea wachezaji wanaogoma. Ni haki yao kugoma, ila Zahera kama kocha, hawezi kuwa na kikosi chenye wachezaji wanaogoma.
Kuwa mwanaume, acha kuchezea Yanga na uipeleke timu mahakamani, lakini ni upuuzi uliotukuka kuendelea kuwa nahodha huku umegoma. Sijui kwanini kuna watu wanaona sawa mchezaji kugoma na still kupewa nafasi ya kucheza.
Mpira ni biashara, usipolipwa usicheze. Yaani, ondoka fasta uende mahakamani. Ukitaka kucheza, basi cheza kwa moyo wote, usipotaka ondoka.
There's no half-steppin.
 
Back
Top Bottom