Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Dah, Kiongozi please usimlinganishe Super Coach Mwinyi Zahera na vitu vya ajabu ajabu.Zahera aache udikteta kama jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, Kiongozi please usimlinganishe Super Coach Mwinyi Zahera na vitu vya ajabu ajabu.Zahera aache udikteta kama jiwe
Amefanya vizur kmsimamisha unahoza lkn na yeye amfukuze kwenye timu pia
SIMBA MWAFA!!!! NA HAYA MAJAMAA YANATUMIA JEZI YA YANGA TAREHE 11 TAIFA PATACHIMBIKA HAYA MAJAMAA SOKA LAO SII LA DUNIA HII
Miss you too Swahiba.
[emoji23][emoji23] Niko poa kabisa Sema Mapinduzi hayana issue kabisa kupoteza muda tu ligi na shirikisho ndo kila kituMiss you too Swahiba.
Nilipanga kukuona tukicheza na Azam ili uje kutuombea njaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzima lakini?
SIMBA MWAFA!!!! NA HAYA MAJAMAA YANATUMIA JEZI YA YANGA TAREHE 11 TAIFA PATACHIMBIKA HAYA MAJAMAA SOKA LAO SII LA DUNIA HII
Mie pia nayaona haya ishu kabisa Swahiba zaidi ya kuwachosha wachezaji.[emoji23][emoji23] Niko poa kabisa Sema Mapinduzi hayana issue kabisa kupoteza muda tu ligi na shirikisho ndo kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787]app unaponiunganisha na Mimi ndo unaharibu SwaibaMie pia nayaona haya ishu kabisa Swahiba zaidi ya kuwachosha wachezaji.
Naona Nguvu moja mmepeleka Full Mkoko kugombea M10. [emoji3][emoji3]
Kocha wa Yanga, Mkongo Mwinyi Zahera amemvua unahodha beki wa kati, Kelvin Yondani 'Vidic' kutokana na utovu wa nidhamu.
Yondani ambaye mwanzoni mwa msimu huu alitangazwa rasmi kuwa nahodha wa Yanga akibeba mikoba iliyoachwa na Nadir Haroub 'Cannavaro' ambaye pia alikuwa anacheza nafasi ya beki wa kati, amevuliwa wadhifa huo kutokana na kuchelewa mazoezini pamoja na ukimya.
"Niliwapa wachezaji siku tano za mapumziko ili siku ya sita waje mazoezini yeye hakutokea, amezima simu na amegoma.
Siwezi kumwacha mtu kama yule anayepaswa kuonyesha mfano kwa wengine afanye hayo hivyo nimeamua nimvue unahodha na kuanzia sasa nahodha ni Ibrahim Ajibu,"alisema Zahera ambaye ni kocha mwenye msimamo na anachokizungumza.
Ikumbukwe pia, Zahera alifanya maamuzi ya kumkataa kikosini mwake mlinda mlango, Beno Kakolanya kwa matatizo kama hayo na mpaka sasa hajajiunga na timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mkuu
SasaLipeni wachezaji mishahara...wachezaji kutii isiwe chanzo cha kudhulumiwa haki zake
Sent using Jamii Forums mobile app
We jivue tu. Ila wanasemaga kikosi cha kipana na ndio sababu jana hawakuwepo kina Okwi[emoji1787][emoji1787]app unaponiunganisha na Mimi ndo unaharibu Swaiba
Yaani sijaelewa kwanini wamepeleka full mkoko inaweza kuwagharimu siungi mkono hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]nilikuwa sijaiona aiseee naona honeymoon inaendelea ila jua majanga hayapo mbaliWe jivue tu. Ila wanasemaga kikosi cha kipana na ndip sababu jana hawakuwepo kina Okwi