Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Majanga ya nini, kwa nani? Umeniacha hapa Swahiba.[emoji3][emoji3][emoji3]nilikuwa sijaiona aiseee naona honeymoon inaendelea ila jua majanga hayapo mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majanga ya nini, kwa nani? Umeniacha hapa Swahiba.[emoji3][emoji3][emoji3]nilikuwa sijaiona aiseee naona honeymoon inaendelea ila jua majanga hayapo mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Majanga ya vichapo kwenye ligi siunajua ukipanda lazima ushukeMajanga ya nini, kwa nani? Umeniacha hapa Swahiba.
Hahaaa. Dua la Kuku tu hilo Swahiba. 💃💃💃Majanga ya vichapo kwenye ligi siunajua ukipanda lazima ushuke
Mechi na Azam [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaanza Shadeeya eeh? Usije ukawakana kama ulivowakana Nkana, au utasema kwavile Nkana wanavaa nyekundu?😀😀Jezi nzuri sana hizi. Sioni tabu kuhama hama WAJE TU nitakuwa mshabiki wao kama nilivyokuwa kwa Nkana japo mashabiki tulihesabika ila ujio wetu pale Uwanjani waliuona. 😜😜
Sijayajua bado matokeo ya Yanga na Azam waweza kunidokezea Shadeeya ?Miss you too Swahiba.
Nilipanga kukuona tukicheza na Azam ili uje kutuombea njaa. 🤣🤣🤣
Mzima lakini?
Halafu inakugharimu kama ilivyokugharimu katika mechi na Nkana, maana kikokotoo kililetwa dakika ya mwishooo mpaka mkawa hamuamini kilichotokeaHahaaa. Walaaaa.
Nilishasema kwa hii kazi ya kuhama hama nitaifanya tu yaani bila hata Mshahara. 😜😜😜
Ndio nimepenyezewa nyepesi nyepesi hapa kua Chura FC waliondoka na ushindi mnono sana, halafu hawa Azam bana eti wanasingizia kikosi chao ni cha watoto! Wamenichekesha kweli Azam hawaUmeme ulikatika. Kulikoni. Yalijiri yepi? 🙈
Hiyo si tabu kabisaaaaa. 😃😃😃Halafu inakugharimu kama ilivyokugharimu katika mechi na Nkana, maana kikokotoo kililetwa dakika ya mwishooo mpaka mkawa hamuamini kilichotokea
Nini lakini Ses. Mpaka nawaza na wewe Umeamkaje leo. Teh. 😃😃😃😃Ndio nimepenyezewa nyepesi nyepesi hapa kua Chura FC waliondoka na ushindi mnono sana, halafu hawa Azam bana eti wanasingizia kikosi chao ni cha watoto! Wamenichekesha kweli Azam hawa
Nimeamka nimechangamka kweli leo kufuatia ushindi mnono wa Yanga janaNini lakini Ses. Mpaka nawaza na wewe Umeamkaje leo. Teh. 😃😃😃😃
Najua unajua mpira huwa una matokeao mangapi hivyo yale ya jana ni sehemu ya matokeo pia ujue.
Wacha weeee.Nimeamka nimechangamka kweli leo kufuatia ushindi mnono wa Yanga jana
Eti wasemaa? Mpira una nini? Unamatokeo mangapi vile? Sasa ndio uone Shadeeya hua kwenye ligi mnavioneaga vitimu vya aina gani
Tupinge na mapemaa Shadeeya, mimi nasema marudiano na Azam hamchomoki, sana sana mtasingizia Zahera alikwenda kwao kusalimia,ooh sijui niniWacha weeee.
Kwa Yanga ipi iliyocheza na Azam pale? Subiri mchezo ujao wa ligi kuu na wao ndio tutaongea lugha moja.
Tupinge. 😎😎 Tutaona tu sababu sio mbali maana hata mpira waliocheza Azam jana si wa kutisha.Tupinge na mapemaa Shadeeya, mimi nasema marudiano na Azam hamchomoki, sana sana mtasingizia Zahera alikwenda kwao kusalimia,ooh sijui nini
Naona kama vile unawafananisha Azam na Alliance, maana vitimu kama hivyo ndio mmezoweya kuvioneaTupinge. 😎😎 Tutaona tu sababu sio mbali maana hata mpira waliocheza Azam jana si wa kutisha.
Kidole changu hicho hapo haya leta na wewe cha kwako, sijui nani atakata sasa hapo, au tukate wenyewe?Tupinge. 😎😎 Tutaona tu sababu sio mbali maana hata mpira waliocheza Azam jana si wa kutisha.
HahahahaDah, Kiongozi please usimlinganishe Super Coach Mwinyi Zahera na vitu vya ajabu ajabu.