Zahera amvua unahodha Yondan amkabidhi Ajib

Ndyo tabu ya kumuajili mtu mwenye uwezo mkubwa wa kimaisha, Zahera ana pesa na maisha mazur hicho ndyo kinachompa jeuri halafu akiangalia yanga yenyewe sasa ipo kwenye ukata, hvyo hata akitimuliwa hana hasara yoyote ile zaid ya kuidai yanga.
 
Hahaaa. Walaaaa.

Nilishasema kwa hii kazi ya kuhama hama nitaifanya tu yaani bila hata Mshahara. 😜😜😜
Halafu inakugharimu kama ilivyokugharimu katika mechi na Nkana, maana kikokotoo kililetwa dakika ya mwishooo mpaka mkawa hamuamini kilichotokea
 
Umeme ulikatika. Kulikoni. Yalijiri yepi? 🙈
Ndio nimepenyezewa nyepesi nyepesi hapa kua Chura FC waliondoka na ushindi mnono sana, halafu hawa Azam bana eti wanasingizia kikosi chao ni cha watoto! Wamenichekesha kweli Azam hawa
 
Nini lakini Ses. Mpaka nawaza na wewe Umeamkaje leo. Teh. 😃😃😃😃

Najua unajua mpira huwa una matokeao mangapi hivyo yale ya jana ni sehemu ya matokeo pia ujue.
 
Nimeamka nimechangamka kweli leo kufuatia ushindi mnono wa Yanga jana

Eti wasemaa? Mpira una nini? Unamatokeo mangapi vile? Sasa ndio uone Shadeeya hua kwenye ligi mnavioneaga vitimu vya aina gani
 
Wacha weeee.

Kwa Yanga ipi iliyocheza na Azam pale? Subiri mchezo ujao wa ligi kuu na wao ndio tutaongea lugha moja.
 
Tupinge na mapemaa Shadeeya, mimi nasema marudiano na Azam hamchomoki, sana sana mtasingizia Zahera alikwenda kwao kusalimia,ooh sijui nini
 
Back
Top Bottom