Zahera":Hakuna kiungo kama Haruna moshi Tanzania,kanikumbusha kiungo wa zamani wa Ac Milan zvonimir Boban

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
"Nilienda ofisini kwenda kufuatilia baadhi ya mambo lakini ndani ya ofisi kulikuwa na TV inayoonyesha mechi ya African Lyon na Jkt mara nikamuona mchezaji mmoja anapiga pass kiufasaha na touch one two nikamuambia Dismas muangalie huyu mchezaji ni mzuri sana

ananikumbusha mchezaji mmoja wa Ac Milan Zvonimir Boban.



-Mwinyi Zahera



Dah kumbe jina la Boban hakupewa kwa bahati mbaya Haruna moshi


.


 
Yanga bwana mnatapatapa kama mfa maji.
 
Haya sasa imedunda hiyo, kiko wapi wajameni..!

Wakati mwingine ni muhimu kuweka akiba ya maneno..!

Walisema Simba SC inasajili wahenga, sasa na huyu naye ni kinda la miaka 18? [emoji3][emoji3][emoji3]Mna vituko nyie[emoji196][emoji196][emoji196]
 
Sawa, ni mkongwe huyo atawafaa watani wetu.
This is Bobannnnn......
 
Nasikia Yanga wanataka kumsajiri kwa mara nyingine Sunday Manara ili kumkata ngebe Haji Manara.

Mimi nitawasaidia wawasajiri pia Nteze John "Rungu",Fikiri Magoso na Chibe Chibindu ili kuboresha kikosi chao.

Yanga Veterani Oyeeeeee!!😁😁😂
 
Yanga wamepata Jemba. Nakumbuka kule umiseta Tabora jinsi alivyokuwa special hadi Simba wakatokwa denda
 
Mhuu Hapa YOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB "The Citizen Team" bado sijaelewa elewa vizuri hivi. Vipi wananchi wenzangu yaweza kuwa sahihi hii!?
 
Boban na kagere nani mzee?kagere kaanzal kucheza mpira wakati police wanavaa vipensi kipindi cha soboso huko,itakua huyu boban alieanza juzi tu hapa
Kagere ana miaka 29 unamfananisha na Boban mhenga miaka 42
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…