Zahera":Hakuna kiungo kama Haruna moshi Tanzania,kanikumbusha kiungo wa zamani wa Ac Milan zvonimir Boban

Shuka likiruka kwa sababu ya kufuliwa(kufulia) na uwezo wa kununua shuka mpya hauna inabidi ukunje miguu.
Yebo Yebo ndio uwezo umeishia hapo kwa Haruna Moshi Boban.
 
Ussjili wa Haruna Moshi"Boban" umenikumbusha usajili wa Andrea Pirlo kutoka Ac Milan kwenda Juventus...watu wengi walibeza lakini akaenda kuwa mfalme Turin...Toka kuondoka kwa Niyonzima sehemu ya kiungo ilikosa kiongozi..ndio maana Boban anakuja kuifanya kazi hiyo..
walimbeza Ngassa na waendelee kwa huyu...mwezi wa tano kombe letu tunalitaka...
 

Hahaha, watu tunajua kujipa faraja, ati Andrea Pirlo!

Mkuu hebu acha utani bana.
 
Reactions: Tui
Mkuu acha kumfanisha Pirlo na vitu vya ajabu, kiungo inaitaji kiongozi yule Babu kamusoko ni kipa au beki? Yanga kwa Sasa inaenda kwa kundra tu
 
Mimi Yanga damu ila sitaki timu ya kuungaunga Kama timu ya umitashumta au umiseta
Wewe jamaa utakufa kwa presha kuifatilia fatilia yanga. Wewe si ndiye uliandika na uzi ya kwamba Yanga wanashinda kwa bahati na upepo na ipo siku upepo utakata. Inaonekana jinsi gani Yanga inakupa maumivu ya moyo.
 
Siamini kitu gani?
Boban kuitumikia Yanga miezi sita. Ndoo inaenda Jangwani kama kawaida.
Ndio maana tunafeligi shule hivihivi mtani chura, wewe umeniuliza kwani nateseka? Nikakujibu siteseki ningekuuliza nateseka na nini ingekuaje?
.
Jibu kama swali linavyotaka ujibu je hauamini unachokiona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…