severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Daaa sikutarajia.Mimi Yanga damu Boban ni mhenga kaja kula pension
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaa sikutarajia.Mimi Yanga damu Boban ni mhenga kaja kula pension
Kagere ana miaka 29 unamfananisha na Boban mhenga miaka 42
[emoji38][emoji38][emoji38]Yanga ujanja ujanja mwingi utawatokea puaniHuyu atawanyoosha sana,ni usajili wa kimbinu zaidi
Mkuu wacha iwatokee puani. Wewe inakuuma nini?[emoji38][emoji38][emoji38]Yanga ujanja ujanja mwingi utawatokea puani
Ussjili wa Haruna Moshi"Boban" umenikumbusha usajili wa Andrea Pirlo kutoka Ac Milan kwenda Juventus...watu wengi walibeza lakini akaenda kuwa mfalme Turin...Toka kuondoka kwa Niyonzima sehemu ya kiungo ilikosa kiongozi..ndio maana Boban anakuja kuifanya kazi hiyo..
walimbeza Ngassa na waendelee kwa huyu...mwezi wa tano kombe letu tunalitaka...
Mimi Yanga damu ila sitaki timu ya kuungaunga Kama timu ya umitashumta au umisetaMkuu wacha iwatokee puani. Wewe inakuuma nini?
Ussjili wa Haruna Moshi"Boban" umenikumbusha usajili wa Andrea Pirlo kutoka Ac Milan kwenda Juventus...watu wengi walibeza lakini akaenda kuwa mfalme Turin...Toka kuondoka kwa Niyonzima sehemu ya kiungo ilikosa kiongozi..ndio maana Boban anakuja kuifanya kazi hiyo..
walimbeza Ngassa na waendelee kwa huyu...mwezi wa tano kombe letu tunalitaka...
Maveteran wamejazana mikia, Boko,Kagere, Okwi,Nyoni,Wawa,Niyonzima,Dida kama ni bendi wangeitwa shikamoo jazzYanga veteran bado kusajili kipanya malapa na nteze John rugu
Unateseka enhe?Yanga bwana mnatapatapa kama mfa maji.
Wewe jamaa utakufa kwa presha kuifatilia fatilia yanga. Wewe si ndiye uliandika na uzi ya kwamba Yanga wanashinda kwa bahati na upepo na ipo siku upepo utakata. Inaonekana jinsi gani Yanga inakupa maumivu ya moyo.Mimi Yanga damu ila sitaki timu ya kuungaunga Kama timu ya umitashumta au umiseta
Wanaunga unga kwasababu hakuna ela na pia wanaangalia mahitaji yao kwasasa ni yapi kulingana na hali yao kiuchumi.Mimi Yanga damu ila sitaki timu ya kuungaunga Kama timu ya umitashumta au umiseta
Siteseki, Hauamini unachokiona?Unateseka enhe?
Siamini kitu gani?Siteseki, Hauamini unachokiona?
Ndio maana tunafeligi shule hivihivi mtani chura, wewe umeniuliza kwani nateseka? Nikakujibu siteseki ningekuuliza nateseka na nini ingekuaje?Siamini kitu gani?
Boban kuitumikia Yanga miezi sita. Ndoo inaenda Jangwani kama kawaida.
Mkuu achana na ushabiki! Haruna atawasaidia sana Yanga! Na atatuumiza saana! Huu ni ukweli Mchungu!😉😉😉😉Mchezaji aliyevuma simba 2004 mpaka 2009 leo lulu ya yanga, dah!
Hata hivyo hongera kwa boban kwa kuwa kwenye gemu muda mrefu.