Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu haina muelekeo mzuri, inacheza hovyo sana!Amecheza game 4, amewin 2 amepoteza 1 droo 1 = POINT 7
Nini mbaya..?
Timu haina muelekeo mzuri, inacheza hovyo sana!
Wachezaji si kasajili yeye au???Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hawezi kuwasikiliza mashabiki wanachokisema kwa sasa baada ya kufungwa na Pyramids FC bali anawasiliana na uongozi ambao ulimpa mkataba.
Hayo yamekuja kufuatia mashabiki wa klabu hiyo kutoa malalamiko yao wakimtaka Zahera kuondoka kutokana na matatizo wanayosema yamekithiri kwenye kikosi ikiwemo kushindwa kupanga vizuri kikosi cha kwanza pamoja na mbinu.
"Mimi sikuajiriwa na mashabiki wa Yanga bali nilisaini mkataba na viongozi, kwahiyo siku viongozi wakinitaka kiwaachie timu nitafanya hivyo, sitokwenda mazoezini", amesema Zahera.
"Nina uzoefu mkubwa ila hapa Afrika, mashabiki wanakasirika. Hakuna mchezaji yoyote wa Yanga anayeweza kucheza Pyramids FC na lingine ni kwamba wakati tunasajili wachezaji, hatukusajili kwa ajili ya Klabu Bingwa Afrika ila tulisajili kwa ajili ya ligi", ameongeza.
Aidha Zahera amesema kuwa mashabiki hawapaswi kumlaumu yeye kwa matokeo ya Klabu Bingwa kwani kikosi chake kiliandaliwa kwa ajili ya ligi kuu, ambako hawapo katika nafasi mbaya mpaka sasa, wakiwa wamecheza mechi chache.
Yanga inatarajia kusafiri hadi nchini Misri kuvaana na Pyramids katika mchezo wa marudio utakaopigwa wikiendi hii, ikiwa nyuma kwa kufungwa mabao 2-1.
Yanga acheni kujificha Kwenye kuvuli cha kua timu haikusajili wachezaji kwa ajili ya michuano ya kimataifa wakati TFF walitoa tangazo la ongezeko la timu tarehe 4 june, na ligi iliisha mwezi wa tano mwishoni.Kocha mkweli sana huyu. Msimu uliopita tuliona Timu inashindwa hata kulipa mishahara ya wachezaji, hadi kina Dante hadi leo wapo mtaani. Usajili ulifanyika kabla ya CAF haijatupatia nafasi 4 za ushiriki wa timu zetu. Yanga mkimtimua kocha Zahera laana yake itawaandama.
Tangu siku ya Kwanza namuona huyu jamaa kwenye mahojiano niliona hakuna kitu hapo,
Yanga acheni kujificha Kwenye kuvuli cha kua timu haikusajili wachezaji kwa ajili ya michuano ya kimataifa wakati TFF walitoa tangazo la ongezeko la timu tarehe 4 june, na ligi iliisha mwezi wa tano mwishoni.
Hivi nyie Yanga usajili mlianza kufanya lini?
Ligi kuu iliisha tarehe 28/5/2019 CAF walitoa taarifa tarehe 4/6/2019.Mkuu tuna mfumo mbovu hao Simba, Azam walio kua na taarifa mapema wame ishia wapi? huu mpira wa kina Haji manara na Antonio Nugaz ulisha wahi kuuona wapi dunia hii tofauti na Tz? yaan tuna amini eti tukiwa na waropokaji team ndio ina shinda ,
Kwa hiyo kumjua mwalim mzuri wa mpira ni hadi ufundishe ndio mawazo yako yalipoishia, mimi namuona hana jipya hata hivyo kwangu Mimi ni afadhali aendelee Kwa vile siishabikii yangaWewe umekwisha fundisha team gani? Una mafanikio yapi kwenye soka mpk umekua na uwezo wa kumtazama tu mtu ukajua anajua au hajui? uswahili ndio ttzo leo wala sio Zahera tangu nmejitambua hii nchi kila siku hua makocha ni wabaya tu sio vilabu wala team ya taifa ina maana Tanzania hatujawahi kupata coach mzuri ? mbona hawa hawa kina Micho hapa kwetu walikua wabaya leo hii ni Lulu huko kwingine? tusidanganyane tuta maliza makocha dunia nzima kama hatuwezi kubalili mfumo wetu wa shortcuts kwa kila kitu
Ligi kuu iliisha tarehe 28/5/2019 CAF walitoa taarifa tarehe 4/6/2019.
Sasa hao yanga ni taarifa gani walichelewa kuipata?
Nisaidie kumwambia [emoji867]yeye anaona hadi uwe kocha ndio uujue udhaifu wa huyo anayemtetea [emoji3][emoji3][emoji3]Wewe umekwisha fundisha team gani? Una mafanikio yapi kwenye soka mpk umekua na uwezo wa kumtazama tu mtu ukajua anajua au hajui? uswahili ndio ttzo leo wala sio Zahera tangu nmejitambua hii nchi kila siku hua makocha ni wabaya tu sio vilabu wala team ya taifa ina maana Tanzania hatujawahi kupata coach mzuri ? mbona hawa hawa kina Micho hapa kwetu walikua wabaya leo hii ni Lulu huko kwingine? tusidanganyane tuta maliza makocha dunia nzima kama hatuwezi kubalili mfumo wetu wa shortcuts kwa kila kitu
Huyu jamaa ni tapeli tu hana lolote, sasa kama walisajili kwa ajili ya ligi tu basi wameenda kufanya nini huko kwa nini hawakujitoa.
Huyu jamaa ni bure sana hana uwezo wa kufundisha timu. Ni mweupe sana huyu, maneno ndio meeengi utafikiri comedian.